Hakuna kitu kinaniudhi Kama familia ya god bless Lema kuwapandisha watoto wao ambao ni wadogo na kuwalisha maneno watukane CCM wakati hata miaka 18 hawajafikia. Watu wa haki za watoto mko wapi jamani? Mbowe wanawe kawaficha hajawahi waanika hadharani seif sharif hamad pia, lipumba pia slaa pia, magufuli pia, mrema pia, tundu lisu pia,kijo bisimba pia, lowasa pia, sumaye pia,mbatia pia sababu kwao hawataki kuvuruga hatima za watoto wao bila ridhaa yao. Lema na mkewe wajitathimini kutumia watoto wao ambao hawajafikia age of majority kwenye siasa. Napendekeza Lema na mkewe wakamatwe wawekwe ndani na watoto wao wachukuliwe watunzwe na ustawi wa jamii ili wapate nafasi ya kukua kuishi na kufikia hatima zao bila kuingizwa kwenye siasa bila ridhaa yao kutokana na udogo wao
Unapendekeza kwa nani?? Binafsi Lema ni mmoja kati ya majasiri nilowahi kuwaona.