domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,548
- 1,729
Tena wewe ni Muongo na mfitini Mkubwa.Ungekuwa unaukweli ungeweka ukweli wa Daudi Bashite.Pumbavu kabisa acha kuingilia maisha ya ndani ya watu.
Hahahaha kakasirika eti, pole kama umeguswa pabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wewe ni Muongo na mfitini Mkubwa.Ungekuwa unaukweli ungeweka ukweli wa Daudi Bashite.Pumbavu kabisa acha kuingilia maisha ya ndani ya watu.
Kwani wewe mumewe wema??Mbona haujaja na issue ya Mwenyekiti wako wa Chama cha Majipu kukimbia na mkewe baada ya kumpa kipindi??Usiwe na hasira kamanda. Kwani wewe ni mkewe Lema?
Kwani wewe mumewe wema??Mbona haujaja na issue ya Mwenyekiti wako wa Chama cha Majipu kukimbia na mkewe baada ya kumpa kipondo?Usiwe na hasira kamanda. Kwani wewe ni mkewe Lema?
Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Vipi Mkuu? Ulifanikiwa kumshawishi Bashite aweke cheti chake cha form four hadharani?Poleni sana. Na mwaka huu nitawachafulia hali ya hewa mpaka mkome
Nyimbo imetungwa kimasihara ila kali kweli...jamaa kama hajaanza kuimba rasmi aingie kwenye fani kabisa
Lakini si ni kweli Lema ameambatana na wepa bila mke wake
Uwezo wako wa kufikiri unalingana na wa mwenyekiti wako.Kamanda, kwani kwenye uzi huu kuna.mahala nimeponda upinzani? Kuwa mpole kamanda
Msema chochoteWadau, amani iwe kwenu.