wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Lizaboni akitoka bashite hapo dar,ukaombe kazi upewe maana naona kama unakaa kaa tu bila kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulishaona wapi makamanda wakaenda vitani na wake zao, hii ka muvi ya vandame vile, yaani ni mapambano kwa kwenda mbele, vita ni vita murah! hata wema twende!Lakini si ni kweli Lema ameambatana na wepa bila mke wake
Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Kaka naona sasa umeishiwa habari za kuweka kwenye jamvi. Hii ni u-shilawadu zaidi kuliko habari. Tafakari kabla ya kuleta mada kwa watu makini wanaothamini rasilimali zao hasa muda.Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Kwani we hiyo spidi inakukera?Hivi kwa spidi hii kweli chadema wana nia ya kuja ongoza hii nchi???
HAPANA.
Cheo ndicho hiki anakutumikia, katibu uenezi wa umbeya na majungu.Kiwanda cha majungu na unafiki kazini Lizaboni muda wowote huo hujapewa cheo huko lumumba?
sawa usiwe na wasi maana vyeti vikiwekwa mwezani tutaishiwa hoja au wewe hupendi tuishiowe hoja sie chadema?Machadema mmeishiwa hoja, kila kukicha mnaishi kwa matukio tu, kwa taarifa yako tukio hilo ndio linayoyoma hivyo, tafuteni tukio jingine, mlianza na la njaa, mkaimba weeee, likapita nausiwe na mvua zinanyesha vyakula vipo, sasa mnaishiwa hoja, jadilini hoja sio kujadili watu.

hebu weka picha ya lema na watoto wake tujiridhisheLizabon mind your own business.Lema amaekuja Dar na Mke na watoto wake.Pole sana Katibu mwenezi wa Umbeya Club.iyekupa inform hajalipa information sahihi pole sana.Umbea haulipi.
Umezoea kuchafua akina Bashe malizana na akina Bashe Mwache Lema na familia yako on aibu for once.