Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

Yaani tuamini siku hiyo ni mahususi kumkabidhi wema kadi tu,ushauri lema fuatana na mama miezi 4 mingi!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
''Huu ni urongo joo''ni Kenyan voice
 
Kama ulisikia haya maneno Lema akizungumza na mkewe, wewe utakuwa ni "mke" mwenza wa Neema, yaan wewe ni mke wa pili wa Lema. Umekuja kueleza vitu vya kipuuzi kabisa! Kama walikubaliana na mkewe aje mwenyewe, wewe unawashwa nini!? Basi chukua nafasi ya mke wa Lema ili uwe na aman mkuu Lizabon.
 
Kipindi cha SHILAWADU kimewaharibu Wanaume wa Tanzania. Nape piga marufuku kipindi hiki, kuna hatari ya Wanaume wengi kuwa wambea, hasa wa Dar.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
We ni house boy wa Lema?
 
Iko hivi kama mleta Uzi ni ME basi wazazi wake na familia yake aiandike "unwanted product" upande wa matokeo na kama ni KE basi anakuwa ni "team shilawadu" aliyekubuhu.

The whole story is totally fake & void from a fake writer to fake readers for faking purpose .
Ndo maana trump huwa.anawatimua kwaajili ya habari za hovyo kama hizi.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Acha Wivu wa Kike Bashite
Lema yupo Dar Pamoja na Mkewe na wanawe,Jana walikuwa Mlimani City.
Hii tabia ndio inafanyaga watoto wa Kiume mnaishia kuwa ma Bwabwa
 
Uwezo wako wa kujua mambo ya ndani ya Lema ni mkubwa zaidi ya kujua vyeti vilipo!!
 
Makamanda wanaiogopa Sana hii ID ya lizaboni WAKIIONA WANATETEMEKA Sana Hahahaha nimegundua kwenye hii thread
 
Kwani hiyo hoja ya vyeti inawasaidia vipi kuongeza wafuasi?
so wakuu nyie mnaangalia wafuasi tu...sis hatukuyaanzsha haya mambo ni serikal ya ccm ndio ilipoanza kusaka vyet feki na ikaomba wanachi tiusaidie kuwafichua walionavyo au si kweli mkuu? km msako umeisha c mtangaze tu basi issue inakwsha
 
Politics mchezo mchafu sana. Sasa mkuu Lizaboni unaiga siasa rahisi za Mange Kimambi kuitibua familia ya Lema kama Mange alivyojaribu kuitibua familia ya Makonda? Duuh yani hiyo inaitwa unikipiga ngumi puani nakupiga ngumi jichoni. Now the Bongo politics is heading steadfast for the below belt punch. Lets wait and see!
 
Ungeandika ukimshauri Bashite aweke vyeti ningekuona wa maana
 
Mbona mnaingilia maisha binafsi ya watu? Hili ni la kuleta jamvini kweli?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Hakuna kitu kinaniudhi Kama familia ya god bless Lema kuwapandisha watoto wao ambao ni wadogo na kuwalisha maneno watukane CCM wakati hata miaka 18 hawajafikia. Watu wa haki za watoto mko wapi jamani? Mbowe wanawe kawaficha hajawahi waanika hadharani seif sharif hamad pia, lipumba pia slaa pia, magufuli pia, mrema pia, tundu lisu pia,kijo bisimba pia, lowasa pia, sumaye pia,mbatia pia sababu kwao hawataki kuvuruga hatima za watoto wao bila ridhaa yao. Lema na mkewe wajitathimini kutumia watoto wao ambao hawajafikia age of majority kwenye siasa. Napendekeza Lema na mkewe wakamatwe wawekwe ndani na watoto wao wachukuliwe watunzwe na ustawi wa jamii ili wapate nafasi ya kukua kuishi na kufikia hatima zao bila kuingizwa kwenye siasa bila ridhaa yao kutokana na udogo wao
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Hiyo sababu ipo wapi hapa? Au umesahau kuiandika?
 
Wema lazima agombanishe chadema nzima
 
AF mwanaume mzima ukiwa unaandika vitu vya kifoleni foleni za maji sijui unakuwaje!
ONAGA AIBU BASI!hata kwa kuangalia wanao wanaozunguka zunguka hapo sebuleni!
 
Majitu yameungaunga elimu halafu yanakuwa mabosi ya wasomi.. Masikini Tanzania
 
Back
Top Bottom