Chadema ni sawa na mdudu kaa, huwa hana direction maalum na hutembea upande upande ukimgusa huku pembeni wala hajisumbui kugeuka ili atembee kuelekea upande mwingine. Huanza kurudi kinyume nyume. Ndo cdm ilivyo. Ni wazee wa marudio kule ccm wanakotoka wao hupita. Kuna wengine wametimuliwa nafikiri mnawamezea mate.