Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular jambo ambalo litawafanya wasiopenda chanjo wamkumbuke Magufuli.

Kuna sababu kwa nini JWTZ waliitisha Kikao na Waandishi wa Habari, ambacho hakikueleweka.

Jiandaeni.
 
Wasiotaka utawafanyaje? Hilo ndilo swali sasa ?
Hakuna mjeledi utaotumika kushurutisha kuchanja bro ....Kupata basic needs na hata kazi lazima uwe umechanja ...!! Nafkr umeiona position ya asiyetaka kuchanja..
 
Utafanyaje kama wakisema ni lazima ?
Lazima kwa nani? Afya yangu mimi halafu unipangie wewe

Mnaotaka kuchanja chanjeni ila mimi binafsi patachimbika hachanji mtu hapa
 
Taratibu watachanja wote kuna sehemu za huduma kama migahawa, hospital na maeneo mbalimbali wameanza kuweka restrictions bila cheti cha chanjo hupati huduma.

Endeleeni na hizo akili za kinjekitile wa chato.
Makomandoo wenu wamechanjwa?
 
Lazima kwa nani? Afya yangu mimi halafu unipangie wewe

Mnaotaka kuchanja chanjeni ila mimi binafsi patachimbika hachanji mtu hapa

Hapo ndipo shida ilipo, wameshapewa maelekezo na mabosi wao kwamba ni lazima watu wote wapigwe chanjo, sasa watalifanyaje hilo kwa nchi kama Tanzania ?
 
Kwanini iwe lazima? Kuna nini hasa na hiyo Corona mpaka iwe lazima?

Waambie wapeleke ujinga wao huko
 
Hakuna mjeledi utaotumika kushurutisha kuchanja bro ....Kupata basic needs na hata kazi lazima uwe umechanja ...!! Nafkr umeiona position ya asiyetaka kuchanja..

Hilo linawezekana nchi tajiri, Tanzania wanaofanya kazi rasmi hawafiki hata 30%, unawezaje kumlazimisha/shinikiza bodaboda tu kwa mfano adungwe kama hataki? Vipi Mmasai mfugaji huko ?
 
Back
Top Bottom