Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

Hilo linawezekana nchi tajiri, Tanzania wanaofanya kazi rasmi hawafiki hata 30%, unawezaje kumlazimisha/shinikiza bodaboda tu kwa mfano adungwe kama hataki? Vipi Mmasai mfugaji huko ?
Wachanje wenyewe huko na virusi vyao vinavyobadilika kila mwezi
 
Msimamo wa Magufuli juu corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular jambo ambalo litawafanya wasiopenda chanjo wamkumbuke Magufuli.


Kuna sababu kwa nini JWTZ waliitisha Kikao na Waandishi wa Habari, ambacho hakikueleweka.

Jiandaeni, …
Mama piga kazi ,uwozo wote uliokuta usikubali kuubeba hata kidogo
 
Kubaki na msimamo kuto chanjwa na hii itafanikiwa zaidi kujiandaa kujiajiri mwenyewe.
Ukiishi kwa kutegemea ajira kuna hatari ya kutii Amri ya Mnyama na kupokea Chanjo.
 
Wachanje wenyewe huko na virusi vyao vinavyobadilika kila mwezi

Na ndio shida walionayo watawala wa sasa hivi, wameshaambiwa kwa ni lazima wachanje watu wote, sasa watalitekeleza vipi kwa nchi kama Tanzania kwa wale wasiotaka ? Ndiyo maana ukiwaangalia ni kama wamechanganyikiwa wanaongea hata mambo yasioeleweka.
 
Watachanja wazembe,sifanyiwi majaribio
.
IMG-20211205-WA0000.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kubaki na msimamo kuto chanjwa na hii itafanikiwa zaidi kujiandaa kujiajiri mwenyewe.
Ukiishi kwa kutegemea ajira kuna hatari ya kutii Amri ya Mnyama na kupokea Chanjo.
Tafuta hela Tanzania kila kitu kinawezekana ukiwa na hela

Unamfuata chemba Dr mpe hela atakuandikia umechanjwa

Mchawi hela tu
 
Kwanini iwe lazima? Kuna nini hasa na hiyo Corona mpaka iwe lazima?

Waambie wapeleke ujinga wao huko
Wenzenu wanafanya hivyo kutengeneza pesa kwa kuuza chanjo zao. Nyie mnakomaa mnahisi kuuliwa/kuzuiwa kuzaa,.......... Siyo wajinga waue soko Lao au walidhuru kwa namba yoyote hasi.
 
Back
Top Bottom