Taratibu watachanja wote kuna sehemu za huduma kama migahawa, hospital na maeneo mbalimbali wameanza kuweka restrictions bila cheti cha chanjo hupati huduma.Kwani huko Ulaya wameshachanjwa wote?
Wa ajabu kivipi sasa watu wanaojielewa wanamheshimu sumbuse wewe ngurumbili uliyetumbuliwa vyeti feki... yule mzee alikuwa wa ajabu sana! Sitaki hata kumkumbuka.
Hakuna mjeledi utaotumika kushurutisha kuchanja bro ....Kupata basic needs na hata kazi lazima uwe umechanja ...!! Nafkr umeiona position ya asiyetaka kuchanja..Wasiotaka utawafanyaje? Hilo ndilo swali sasa ?
Lazima kwa nani? Afya yangu mimi halafu unipangie weweUtafanyaje kama wakisema ni lazima ?
Watu wenye kutoa hoja za matusi kama hizi huwa ni wale wenye IQ ya 50Wa ajabu kivipi sasa watu wanaojielewa wanamheshimu sumbuse wewe ngurumbili uliyetumbuliwa vyeti feki
Makomandoo wenu wamechanjwa?Taratibu watachanja wote kuna sehemu za huduma kama migahawa, hospital na maeneo mbalimbali wameanza kuweka restrictions bila cheti cha chanjo hupati huduma.
Endeleeni na hizo akili za kinjekitile wa chato.
Lazima kwa nani? Afya yangu mimi halafu unipangie wewe
Mnaotaka kuchanja chanjeni ila mimi binafsi patachimbika hachanji mtu hapa
Too low.Makomandoo wenu wamechanjwa?
Hakuna mjeledi utaotumika kushurutisha kuchanja bro ....Kupata basic needs na hata kazi lazima uwe umechanja ...!! Nafkr umeiona position ya asiyetaka kuchanja..