Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

Hilo linawezekana nchi tajiri, Tanzania wanaofanya kazi rasmi hawafiki hata 30%, unawezaje kumlazimisha/shinikiza bodaboda tu kwa mfano adungwe kama hataki? Vipi Mmasai mfugaji huko ?
Wachanje wenyewe huko na virusi vyao vinavyobadilika kila mwezi
 
Mama piga kazi ,uwozo wote uliokuta usikubali kuubeba hata kidogo
 
Kubaki na msimamo kuto chanjwa na hii itafanikiwa zaidi kujiandaa kujiajiri mwenyewe.
Ukiishi kwa kutegemea ajira kuna hatari ya kutii Amri ya Mnyama na kupokea Chanjo.
 
Wachanje wenyewe huko na virusi vyao vinavyobadilika kila mwezi

Na ndio shida walionayo watawala wa sasa hivi, wameshaambiwa kwa ni lazima wachanje watu wote, sasa watalitekeleza vipi kwa nchi kama Tanzania kwa wale wasiotaka ? Ndiyo maana ukiwaangalia ni kama wamechanganyikiwa wanaongea hata mambo yasioeleweka.
 
Kubaki na msimamo kuto chanjwa na hii itafanikiwa zaidi kujiandaa kujiajiri mwenyewe.
Ukiishi kwa kutegemea ajira kuna hatari ya kutii Amri ya Mnyama na kupokea Chanjo.
Tafuta hela Tanzania kila kitu kinawezekana ukiwa na hela

Unamfuata chemba Dr mpe hela atakuandikia umechanjwa

Mchawi hela tu
 
Kwanini iwe lazima? Kuna nini hasa na hiyo Corona mpaka iwe lazima?

Waambie wapeleke ujinga wao huko
Wenzenu wanafanya hivyo kutengeneza pesa kwa kuuza chanjo zao. Nyie mnakomaa mnahisi kuuliwa/kuzuiwa kuzaa,.......... Siyo wajinga waue soko Lao au walidhuru kwa namba yoyote hasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…