Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Chai
 
maskini Elon Musk ana watoto kumi (10) na bado anaongeza
 
Hapa yupi ana watoto wengi?

Ambaye kazalisha mwanamke mmoja tu ila kamuacha kwa mwanamke ambaye anapambana kama single mother na mwingine ana 5 na wote wanapata huduma kutoka kwake.
 
Hapa yupi ana watoto wengi?

Ambaye kazalisha mwanamke mmoja tu ila kamuacha kwa mwanamke ambaye anapambana kama single mother na mwingine ana 5 na wote wanapata huduma kutoka kwake.
3 women 10 Children. Familia ya Tajiri namba 1 duniani huyo Elon Musk. Piga mashine fala wewe, usiwe kama mpwayungu.View attachment 2718879
Kipato chake sawa na chako???

Mwambie MUSK aache ufala kwa hela zake ilibidi awe na watoto si chini ya 1,000 ...

MUSK kua na watoto 10 kwa pesa zake ni ubahili wa kutisha...

Kwa akili zetu maskini kwa idadi ya watoto wake na utajiri alio kua nao natangaza rasmi MUSK ni mbinafsi namba moja Duniani...

Kuna watu bongo wana mshahara wa milioni moja ma wana watoto si chini ya 10...

Mwambie Musk aache ujinga apige Mashine...

Watoto 10 kwake ni dharau!!!?Tunatarajia kusikia ana watoto 1000 au 10,000 kwa kipato chake.....!

Mwambie MUSK aache uzungu apige MASHINE!
 
Hong
HONGERA SANA MKUU!
I HOpe umeweza kuwa mentor watoto wako wote. Yaani kila mmoja umehakikisha anatembea kweny mstar mnyoofu
Naamini hukumuachia Mungu hii kazi.

EMOTIONAL ENTELIGENCY
Naamini upo vizur katika hili na ume manage ku monitor na kuhakikisha watoto wote pschologically wako vizur.

Happiness
Naamini ume show love kwa kila mtoto bila upendeleo
Upo suportive kwa watoto wote tuseme unapata muda wakushiriki michezo na kila mtoto .
Kiujumla niseme upo na strong bond kwa kila mtoto wako / father children friendship.

Mkuu umeweza kutekeleza hayo mawili matatu !

MIMI NACHOJUA PARENTING IS NOT EASY
MTOA MADA YUPO SAHIHI KWA KIASI CHAKE.
 
[emoji1666][emoji106]
 
Binafsi sipo tayr kuleta kiumbe kije kupata tabu duniani na kama nitakileta.....!

Ngoja nikupe sababu ya matajiri kuzaa watoto wachche!

Kuna uhusiano mkubwa kati ya intelligency na utajiri.
.Matajir wengi wapo spirtual conscious hawafanyi mambo kwakufuata misingi ya dini
Kuna wanaozaa inorder to please their God, matajir hii hawana.
Masikini wengi wameziendekeza dini we all know this.

PURPOSE IN LIFE.
Tafsiri ya maisha.na maana ya mafanikio.
Kila mtu yupo na tafsiri ya mafanikio.
Kuna wanao amini mafanikio ni kuwa na pesa nyingi na kuzaa watoto .
Kuna wanao amini watoto wanakujaga na baraka.

Life style
Hapa kuna wanao take parebting too serious na ndipo unakuta logic inatumika na mtu anaamua kuwa na watoto wachache kwasababu future ya watoto inakuwa considered kana kwamba wanaona kuzaa watoto wengi haina maana.

My takes on this!

A reason why we shouldn't bring many kids is to prevent em from suffering.
 
Mtoa mada Hongera kwa Uzi maridhawa[emoji122][emoji122].,Nimekupata.
 
Bakhressa ana wangapi?

Matajiribwa Kiarabu na Kizanzibar wana wangapi?

Wakulima matajiri huko mikoani wana watt wangapi?

HOVYO KABISA
 
Akili za kimaskini hizi. Kama mtoto mmoja ni mil 54 je vipi wale wazee wetu waliozaa watoto 10 na maisha yakaenda.

Matajiri wengi wako busy ndiyo sababu ya kuwa na familia ndogo siyo kwamba hawawezi kuhudumia.
Ubize haukufanyi uwe n familia ndogo, hapi umepuyanga…
Kuzaa ni chaguo la mtu, hivyo hivyo kwny idadi ya watoto uitakayo
 
Malezi Bora ni pesa? Siamini hivyo, malezi bora hutegemea aina ya mwanamke au mwanamme uliyeamua kuanzisha naye familia. Kuwa busy kutafuta hela utakuta binti yako ameshakuwa mme wa mkeo, hutakaa ujue. Malezi bora ya watoto kwa sehemu kubwa hayaangalii pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…