Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Mil 50 duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...Ulijua laki moja boss!?Mil 50 duh
Kwanza Tajiri gani mwenye familia ndogo..?Akili za kimaskini hizi. Kama mtoto mmoja ni mil 54 je vipi wale wazee wetu waliozaa watoto 10 na maisha yakaenda.
Matajiri wengi wako busy ndiyo sababu ya kuwa na familia ndogo siyo kwamba hawawezi kuhudumia.
Sawa acha tuseme hivyo...Kwanza Tajiri gani mwenye familia ndogo..?
Labda tuseme wana watoto wachache wa ndani ya ndoa!
Kwahiyo wewe hapo ulipo ni mzee wetu????Akili za kimaskini hizi. Kama mtoto mmoja ni mil 54 je vipi wale wazee wetu waliozaa watoto 10 na maisha yakaenda.
Matajiri wengi wako busy ndiyo sababu ya kuwa na familia ndogo siyo kwamba hawawezi kuhudumia.
Nimetumia neno rahisi ili ieleweke.Kila mtoto anakuja na baraka zake....Kitaaluma hiyo ni BETTING...
Kanuni hizi ndio huzalisha makahaba na vibaka...!
Binadamu waliokosa msingi wa malezi na kesho yao,ikiaminika watakuja kujitafutia wenyewe....!
Sawa tumezaa wengi...Jiulize hio idadi ya watu wengi ambao kwa sasa hawana ajira wataajiriwa na nani....Nimetumia neno rahisi ili ieleweke.
Wazee wetu hadi wanakufa walikuwa kwenye nyumba za tembe, lakini tumesoma na kukua hadi sasa tunajenga nyumba za bati, kununua usafiri wa kutembelea na kusomesha watoto wetu.
Kama ukifanikiwa kuwalea watoto wako Kikoloni kama Wazee wetu, nakukuhakikishia hakuna mtoto atafeli maisha.
Mimi nilijenga nyumba yangu ya udongo ya chumba moja na sebule nikiwa na miaka 16
Nguvu kazi kwamaana ya watu ndiyo nguvu ya Uchumi wa Nchi yeyote, wewe unataka kila familia izae mtoto mmoja then hivyo viwanda vyetu, mashamba na mifugo yetu vitasimamiwa na nani?
Mimi nachagua kuzaa watoto wengi wanilee uzeeni wewe wekeza benkUNAPO SHANGAA KWA NINI MATAJIRI WANA WATOTO WACHACHE, SHANGAA PIA KWANINI MASKINI WANA WATOTO WENGI.
Ila ukirudi katika hesabu utagundua kwanini mmoja maskini na mwingine tajiri.
Kwa malezi ya kistaarabu Mtoto mmoja gharama ya malezi yake hadi akifika chuo na kuanza kujitegemea ni miaka si chini ya 28 hadi 30.
Fanya kila siku katika malezi unatakiwa kuwekeza 5000 kwa mtoto kwa maisha yake yote toka tumboni, shule, mavazi, chakula na matibabu.
Tsh 5000 xsiku 30 x miezi 12 x miaka30=Jumla Tsh Milioni 54,000,000/- kwa mtoto mmoja katika malezi.
Ukimaliza malezi unakua amesha zeeka na kustafu..labda umebakisha miaka 10 au 15 mbele ya kuishi.
Sasa uamuzi ni wako chagua kuzaa watoto wacheche na hela ya watoto wengine uwekeze kwenye kununua hisa katika mabenki ujilee uzee wako wewe mwenyewe kwa kula hisa zako.
Au uzae watoto wengi uwekeze katika majukumu uitwe maskini na ubaki ukilaumu kuwa watoto hawakusaidii.
Wakatiohuo nao wapo katika majukumu yao ya msingi.
Sawa!Mimi nachagia kuzaa watoto wengi wanilee uzeeni wewe wekeza benk
Sasa kama mtu ana watoto 2 ila ana shida, vp kama angekuwa nao 6? Hauoni kama anawaleta kwenye dhiki??Utajiri ni kipaji kuzaa mtoto 1 au wengi au kuishi bila familia sio kigezo cha kuwa tajiri unaweza kuwa na watoto kama timu ya simba lakini utajiri ukakuijia tu wengi miaka hii hawazai kabisa au wakizaa ni mtoto 1 au 2 ajabu wanashida mpaka sura zao zinaonyesha walivio choka
Kipato chake sawa na chako???3 women 10 Children. Familia ya Tajiri namba 1 duniani huyo Elon Musk. Piga mashine fala wewe, usiwe kama mpwayungu.View attachment 2718879
Zaa kulingana na financial muscles zako.Bila shaka wewe unae mtoto 1 au 2 taja unamiliki nini katika mali kuliko wanye watoto 6?
Perfect!Zaa kulingana na financial muscles zako.
Wazungu ni nani? Nina mashaka na upeo wako wa kufikiri.Unasikitisha sana. Laiti kama wazungu wangekuwa na mentality kama hii, basi hata ndugu zetu wasingepata msaada wa Wazungu
Sio kufikiri pekee na vile anavyo itafsiri dunia...!Wazungu ni nani? Nina mashaka na upeo wako wa kufikiri.
Hamna cha baraka inategemea umeoa mke wa namna ganiIla watoto huja na baraka bhana,,,, chamsingi uzae kwa mpango sio kukurupuka
Hivi kumbe hiyo hua ni kweli😃....kwamba mwanamke ndo anabeba baraka za familia au ni nadharia tu🤔Hamna cha baraka inategemea umeoa mke wa namna gani
Ndo hivyo kama umeoa li mwanamke lina kimavi halafu linakutia stress unazani utatoboa,Hivi kumbe hiyo hua ni kweli[emoji2]....kwamba mwanamke ndo anabeba baraka za familia au ni nadharia tu[emoji848]
[emoji23]Ndo hivyo kama umeoa li mwanamke lina kimavi halafu linakutia stress unazani utatoboa,