Hii ndiyo Simba itakayo muua Casablanca Jumamosi

Hii ndiyo Simba itakayo muua Casablanca Jumamosi

Amani ya bwana iwe nanyi wana wa MUNGU.

Kuelekea mechi dume jumamosi, mechi ambayo kila mtanzania anaisubiri kwa hamu, mechi ambayo kila mwafrika mpenda soka anaamini raja casablanca anenda kupata mateso makali kwa mkapa jumamosi, mechi ambayo hata watani wanaamini mwarabu ameyakanyaga

Basi napenda jumamosi akutane na ile simba ilomfanya kocha wa kaizer chief aone muda unaenda kwa speed ya kinyonga, simba ambayo inakushambulia muda wote, simba ambayo mo husein akikamata bali anakuja kwa nguvu, ile ambayo kapombe akipewa kabumbu anakufata mpaka ukome, simba ambayo chama akipewa gozi, wanasimba wote wanapata raha duniani na utukufu mbinguni, simba ile miquisone{sakho} akipewa kandanda unatoa jicho kuona wangapi watafungashwa tela, ambayo ilimpiga vita club manne pamoja na kamati pendwa ile ya mapokezi

Naitamani morali ile ya wachezaji kushambulia muda wote kama ile vita club anakufa 2-1 kwa mkapa, hakika itapendeza na hawa waarabu watatuambia kama ni waafrika ama waamerika, mwanakulitaka...?

IMG_7908.jpg
 
Mkuu unaelewa Morocco ni namba 11 katika FIFA Men's Football Rankings sasa hivi?

Na Egypt ni 39.

Na Tanzania ni 130.

al ahly ni finalist 3years back to back, haya nambie hao kina rajab wako wanamaajabu gani kupelekea asipokee haki yake ya kipondo/kichapo/kipogo heavy? Uto bwana!
 
al ahly ni finalist 3years back to back, haya nambie hao kina rajab wako wanamaajabu gani kupelekea asipokee haki yake ya kipondo/kichapo/kipogo heavy? Uto bwana!
Raja Kachukua confederation 2021 na pia walitoa top scorer Ben Malango.
 
Raja Kachukua confederation 2021 na pia walitoa top scorer Ben Malango.
Unahakika benald malango bado yupo? Yote kwa yote kipigo kinawahusu, al ahly aligongwa ilihali katoka kucheza final ya club world cup dhidi ya bayern, atakua huyo rajab?
 
Nawaza tuu magoli wanayokosa kina boko na jinsi beki yetu inavyokatika
Kabisa nafasi tatu forward hapati hata moja hii inatia mashaka sana.ntakua na imani na Phiri na Baleke hao sina mashaka nao.
alafu beki zetu zilivyo nyepesi nikiangalia washambuliaji wa Raja watata kila nafasi wanafunga,viungo kama Muzamir,Mkude sio wale wa zamani wameshajichokea.kichwa kinaniuma hasa kwenye walinzi wa Simba siwaamini kabisa.
 
Unahakika benald malango bado yupo? Yote kwa yote kipigo kinawahusu, al ahly aligongwa ilihali katoka kucheza final ya club world cup dhidi ya bayern, atakua huyo rajab?
Kweni wachezaji waloifunga Al ahly ndo Hawa waliopo sasa?
 
Kabisa nafasi tatu forward hapati hata moja hii inatia mashaka sana.ntakua na imani na Phiri na Baleke hao sina mashaka nao.
alafu beki zetu zilivyo nyepesi nikiangalia washambuliaji wa Raja watata kila nafasi wanafunga,viungo kama Muzamir,Mkude sio wale wa zamani wameshajichokea.kichwa kinaniuma hasa kwenye walinzi wa Simba siwaamini kabisa.
Mkuu fupisha maneno watakie mema Raja 🦅🦅 wawapige Hawa makolo watupunguzie noise pollution.
 
Mkuu fupisha maneno watakie mema Raja 🦅🦅 wawapige Hawa makolo watupunguzie noise pollution.
Simba ana nafasi kubwa ya kushinda ila kwa sharti moja kubwa safu ya ulinzi iwe na umakina mkubwa makosa madogo madogo waarabu hawakuachi.
mara nyingi stricking ya Simba kwa Mkapa huwa aifanyi ajizi ila nje ya Kwa Mkapa ndo wanataabika sana ku score.
 
Kweni wachezaji waloifunga Al ahly ndo Hawa waliopo sasa?
Mchezaji yeyote atakepewa nafasi hiyo jumamosi ataingia kama mbogo alyejeruhiwa! Aaf vipi kuhusu timu yako, pia huna imani nayo siku ya j pili?
 
Jiandaeni kuwalaumu mabeki zenu hasa Henock, hope ana gori atakalochomesha😅...
 
kwan umeshasahau kilichokuwa kinamkuta Al Ahly?

Wale mlikuwa mnawachezesha juani.

Jua la saa 10 dar ni kali sana kwa mtu mgeni

Raja casablanca mechi usiku kwenye hali ya hewa nzuri..

Hata wewe ukiambiwa ukimbie kutroti saa 10 utachoka haraka kwa jua.. ila ukiambiwa ukimbie mazoezi saa 1 usiku hautachoka haraka hata kama sio mtu wa mazoezi
 
al ahly ni finalist 3years back to back, haya nambie hao kina rajab wako wanamaajabu gani kupelekea asipokee haki yake ya kipondo/kichapo/kipogo heavy? Uto bwana!

AL AHLY ulikuwa unacheza nae kwenye jua la saa 10 .

Dar jua la saa 10 ni kali sana kwa mtu mgeni ambaye hajazoea kucheza juani.

Hata wewe ukiambiwa ukimbie mazoezi saa 10 jioni.. hutaweza kukimbia umbali mrefu sababu ya jua

Raja casablanca mechi ni saa moja usiku.

Acha kufananisha na wale uliowafunga kwenye jua kali
 
Back
Top Bottom