Hii ndiyo Simba itakayo muua Casablanca Jumamosi

Hii ndiyo Simba itakayo muua Casablanca Jumamosi

Haya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashinda

Leo hii team zote za kimataifa ambazo zimefungwa na Simba Sc hapo kwa mkapa umazioma dhaifu, leo hii Ahly unawaona dhaifu hao raja mara ya mwisho kuchukua kombe mbele ya Al Ahly ni lini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tusubiri kidogo tu dakika 90 ziishe halafu turudi hapa.

Kwa nini tunaandikia mate na wino upo?
 
Haya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashinda

Leo hii team zote za kimataifa ambazo zimefungwa na Simba Sc hapo kwa mkapa umazioma dhaifu, leo hii Ahly unawaona dhaifu hao raja mara ya mwisho kuchukua kombe mbele ya Al Ahly ni lini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu matokeo umeyapata?
 
Mkuu Simba mwenzangu hapa tunapenyaje?

Maana data zote zinaonesha tushauawa kabla hata mpira haujaanza.

Yani tukitoa draw nahesabu ushindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulichungulia game kabla haijachezwa nini mzee?
 
Haya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashinda

Leo hii team zote za kimataifa ambazo zimefungwa na Simba Sc hapo kwa mkapa umazioma dhaifu, leo hii Ahly unawaona dhaifu hao raja mara ya mwisho kuchukua kombe mbele ya Al Ahly ni lini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu
 
Mkuu hawa vidimbwi wao kazi ni zomea zomea tu, mwaka juzi tulipopangiwa kundi moja na al ahly, as vita na el mereck walisema simba ni under dog, na kwamba ingemaliza wa mwisho! Maajabu ya simba ikamalizo on the top, jamaa wakabadili maneno eti al ahly imechoka na vita club imeondokewa na wachezaji wengi, chakushangaza al ahly aliechoka akachukua ubingwa kwa kumpiga kaize chief ambae nae alinusurika pale kwa mkapa,
ila leo vyura wamesahau wanasema simba hii imechoka, ila kesho wataumbuka tena.
Aibu tupu
 
Mchezaji yeyote atakepewa nafasi hiyo jumamosi ataingia kama mbogo alyejeruhiwa! Aaf vipi kuhusu timu yako, pia huna imani nayo siku ya j pili?
Unazani mpira ni mashindano ya vichambo kwamba ukiongea ngebe nyingi hapa ukienda uwanjani utashinda? 😂😂
 
kwani yanasomekaje uko ?
Amani ya bwana iwe nanyi wana wa MUNGU.

Kuelekea mechi dume jumamosi, mechi ambayo kila mtanzania anaisubiri kwa hamu, mechi ambayo kila mwafrika mpenda soka anaamini raja casablanca anenda kupata mateso makali kwa mkapa jumamosi, mechi ambayo hata watani wanaamini mwarabu ameyakanyaga

Basi napenda jumamosi akutane na ile simba ilomfanya kocha wa kaizer chief aone muda unaenda kwa speed ya kinyonga, simba ambayo inakushambulia muda wote, simba ambayo mo husein akikamata bali anakuja kwa nguvu, ile ambayo kapombe akipewa kabumbu anakufata mpaka ukome, simba ambayo chama akipewa gozi, wanasimba wote wanapata raha duniani na utukufu mbinguni, simba ile miquisone{sakho} akipewa kandanda unatoa jicho kuona wangapi watafungashwa tela, ambayo ilimpiga vita club manne pamoja na kamati pendwa ile ya mapokezi

Naitamani morali ile ya wachezaji kushambulia muda wote kama ile vita club anakufa 2-1 kwa mkapa, hakika itapendeza na hawa waarabu watatuambia kama ni waafrika ama waamerika, mwanakulitaka...?
kiongozi, matokeo yanasomekaje uko?
 
Mkuu Simba mwenzangu hapa tunapenyaje?

Maana data zote zinaonesha tushauawa kabla hata mpira haujaanza.

Yani tukitoa draw nahesabu ushindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uliona mbali
 
Nakwambia mkuu kwa yale mambo yetu ya kiswahili yanayopelekea uwanja kulindwa na makomandoo, mwarabu j mosi atapata kilichompata al ahly mwaka juzi.
Dah! Mambo yenyewe ndiyo yale ya kurudisha basi kinyume nyume kwa umbali wote ule!! 😃
 
Back
Top Bottom