Labda imekatikia chiniMechi ya jwaneng galaxy ilikua ndondo cup naona haipo kwenye kumbukumbu hapo.
Mkuu tusubiri kidogo tu dakika 90 ziishe halafu turudi hapa.Haya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashinda
Leo hii team zote za kimataifa ambazo zimefungwa na Simba Sc hapo kwa mkapa umazioma dhaifu, leo hii Ahly unawaona dhaifu hao raja mara ya mwisho kuchukua kombe mbele ya Al Ahly ni lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu matokeo umeyapata?Haya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashinda
Leo hii team zote za kimataifa ambazo zimefungwa na Simba Sc hapo kwa mkapa umazioma dhaifu, leo hii Ahly unawaona dhaifu hao raja mara ya mwisho kuchukua kombe mbele ya Al Ahly ni lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani matokeo unayo sasa njoo tujadili mpira sasa ushabiki ukae pembeniSisi tunazungumzia CAFCL wewe unaleta habari za CAFCC (Kombe la waliofeli).
Tuonyeshe ni kwa namna gani Raja ni wakubwa kuliko Ahly tuliowapiga hapo kwa Mkapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa njoo sasa nadhani matokeo unayoal ahly ni finalist 3years back to back, haya nambie hao kina rajab wako wanamaajabu gani kupelekea asipokee haki yake ya kipondo/kichapo/kipogo heavy? Uto bwana!
ππππUnahakika benald malango bado yupo? Yote kwa yote kipigo kinawahusu, al ahly aligongwa ilihali katoka kucheza final ya club world cup dhidi ya bayern, atakua huyo rajab?
Umefungwa mdomo. Endelea kuishi kwa kukremu.al ahly ni finalist 3years back to back, haya nambie hao kina rajab wako wanamaajabu gani kupelekea asipokee haki yake ya kipondo/kichapo/kipogo heavy? Uto bwana!
Ulichungulia game kabla haijachezwa nini mzee?Mkuu Simba mwenzangu hapa tunapenyaje?
Maana data zote zinaonesha tushauawa kabla hata mpira haujaanza.
Yani tukitoa draw nahesabu ushindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nilikwenda na data tu.Ulichungulia game kabla haijachezwa nini mzee?
AibuHaya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashinda
Leo hii team zote za kimataifa ambazo zimefungwa na Simba Sc hapo kwa mkapa umazioma dhaifu, leo hii Ahly unawaona dhaifu hao raja mara ya mwisho kuchukua kombe mbele ya Al Ahly ni lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aibu tupuMkuu hawa vidimbwi wao kazi ni zomea zomea tu, mwaka juzi tulipopangiwa kundi moja na al ahly, as vita na el mereck walisema simba ni under dog, na kwamba ingemaliza wa mwisho! Maajabu ya simba ikamalizo on the top, jamaa wakabadili maneno eti al ahly imechoka na vita club imeondokewa na wachezaji wengi, chakushangaza al ahly aliechoka akachukua ubingwa kwa kumpiga kaize chief ambae nae alinusurika pale kwa mkapa,
ila leo vyura wamesahau wanasema simba hii imechoka, ila kesho wataumbuka tena.
Unazani mpira ni mashindano ya vichambo kwamba ukiongea ngebe nyingi hapa ukienda uwanjani utashinda? ππMchezaji yeyote atakepewa nafasi hiyo jumamosi ataingia kama mbogo alyejeruhiwa! Aaf vipi kuhusu timu yako, pia huna imani nayo siku ya j pili?
kiongozi, matokeo yanasomekaje uko?Amani ya bwana iwe nanyi wana wa MUNGU.
Kuelekea mechi dume jumamosi, mechi ambayo kila mtanzania anaisubiri kwa hamu, mechi ambayo kila mwafrika mpenda soka anaamini raja casablanca anenda kupata mateso makali kwa mkapa jumamosi, mechi ambayo hata watani wanaamini mwarabu ameyakanyaga
Basi napenda jumamosi akutane na ile simba ilomfanya kocha wa kaizer chief aone muda unaenda kwa speed ya kinyonga, simba ambayo inakushambulia muda wote, simba ambayo mo husein akikamata bali anakuja kwa nguvu, ile ambayo kapombe akipewa kabumbu anakufata mpaka ukome, simba ambayo chama akipewa gozi, wanasimba wote wanapata raha duniani na utukufu mbinguni, simba ile miquisone{sakho} akipewa kandanda unatoa jicho kuona wangapi watafungashwa tela, ambayo ilimpiga vita club manne pamoja na kamati pendwa ile ya mapokezi
Naitamani morali ile ya wachezaji kushambulia muda wote kama ile vita club anakufa 2-1 kwa mkapa, hakika itapendeza na hawa waarabu watatuambia kama ni waafrika ama waamerika, mwanakulitaka...?
Raja si vibonde
Uliona mbaliMkuu Simba mwenzangu hapa tunapenyaje?
Maana data zote zinaonesha tushauawa kabla hata mpira haujaanza.
Yani tukitoa draw nahesabu ushindi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sema tena baba sema usiogopeAtapigwa Raja kama walivyopigwa waliotangulia
Dah! Mambo yenyewe ndiyo yale ya kurudisha basi kinyume nyume kwa umbali wote ule!! πNakwambia mkuu kwa yale mambo yetu ya kiswahili yanayopelekea uwanja kulindwa na makomandoo, mwarabu j mosi atapata kilichompata al ahly mwaka juzi.