Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Kangi Lugola hata kwa kumwangalia tu unawaza kama si Mungu angekuwa wapi leo, maana pamoja na kuwa Mbunge mpaka Uwaziri, bado hana tofauti na mwanakijiji amabaye hakuwa kutoka Mwibarayule mkata viuno aliyetumbuliwa si KAMFANANUSHA NANII NA YESU? tusubiri Yesu mwenye wivu ajibu, maana hata Nkurunziza alimbipu naye akapiga
nimecheka kwanguvu alafu nasema hivi, Kangi atakuwa anvumiliwa hata kwenye ndoa, usafi hana , sasa nyummbani sijui inakuwajeKangi Lugola hata kwa kumwangalia tu unawaza kama si Mungu angekuwa wapi leo, maana pamoja na kuwa Mbunge mpaka Uwaziri, bado hana tofauti na mwanakijiji amabaye hakuwa kutoka Mwibara
Bahati mbaya mwenzake alitangulia kwenye haki awamu iliyopita. Kwahiyo huenda ndio chanzo cha Stress zakenimecheka kwanguvu alafu nasema hivi, Kangi atakuwa anvumiliwa hata kwenye ndoa, usafi hana , sasa nyummbani sijui inakuwaje
oops, so sorry kwake, yes atakuwa anaondoa stressBahati mbaya mwenzake alitangulia kwenye haki awamu iliyopita. Kwahiyo huenda ndio chanzo cha Stress zake
Binti unaviroja sijapata kuonanimecheka kwanguvu alafu nasema hivi, Kangi atakuwa anvumiliwa hata kwenye ndoa, usafi hana , sasa nyummbani sijui inakuwaje
THE OBVIOUSUnakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa chama na kamati kuu.
Hivi katika mazingira hayo hata mngekuwa nyie mngefanya nini?
Hebu basi tujaribu kuwa waelewa basi, tunapoona watu wanasifu mpaka wanakufuru wanamwita JPM Mungu tuwavumilie hali ni mbaya huko ndani.
Kilichopo ni ama uteuliwe ugombee na usipoteuliwa kugombea nafasi ya kuteuliwa uDC na uRC nazo ni finyu list ni ndefu sana.
Hivyo kadri unavyofanya bidii kusifu ndiyo odds za kuula zinaongezeka
Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa chama na kamati kuu.
Hivi katika mazingira hayo hata mngekuwa nyie mngefanya nini?
Hebu basi tujaribu kuwa waelewa basi, tunapoona watu wanasifu mpaka wanakufuru wanamwita JPM Mungu tuwavumilie hali ni mbaya huko ndani.
Kilichopo ni ama uteuliwe ugombee na usipoteuliwa kugombea nafasi ya kuteuliwa uDC na uRC nazo ni finyu list ni ndefu sana.
Hivyo kadri unavyofanya bidii kusifu ndiyo odds za kuula zinaongezeka
Naona umerudi baada ya kukupatia nondo kwenye ule uzi uliopita? Muuaji wewe.Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Pale kwako Mzee wa kuchora mawe unadhani bila Mwenyekiti kuingilia utamuweza Mkumbo?Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Hata kama kafanya kazi nzuri ndio mumfananishe na Yesu!Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.