Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Wanachelewa wamwite mungu kabisaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi nzuri alizozifanya Magufuli ndo zimepelekea baadhi yenu muanze kumlinganisha Magufuli na Yesu Kristo? Kauri ya Kangi Lugola, ninyi Wabunge wetu mumeamua kuiacha kwenye Hansadi!Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Ni wale wale tu, ma-ccm yote hayana akili!Kwani mwigulu ni lugola? Lugola hakusema kwa niaba ya mwigulu.
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Ndo umfananishe na Yesu? R u serious?Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Well narrated [emoji120]Kuna watu wanamchukulia Mungu ktk wepesi na mawazo ya kibinadamu. Mungu ni mkuu sana (beyond imagination). Ukitizama anga utagundua dunia yenyewe si kitu. Anga linaogofya. Kuna mabilioni ya "Galaxy" na kila Galaxy ina mabilioni ya Sayari. Kadunia ni kama kapunje ka mchanga katikati ya bahari. Aliyefanya yote hayo ni Mungu mwenye enzi. Yeye hafananishwi wala halinganishwi.
Kumpa mtu sifa za Mungu ni kumfanya mtu huyo kuwa sanamu. Na kumtukuza mwanadamu ni kuabudu sanamu. Mungu anasema "Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu" (Isaya 42:8)
_
Kuamini kwamba bila mtu fulani hii nchi haiwezi kwenda ni kumpa mtu huyo sifa za Mungu. Mungu aweza kumnyanyua mtu yeyote kwa wakati wowote apendao. Kwahiyo usiseme bila fulani nchi haiwezi kwenda. Sema bila Mungu.
Anayempa mtu utukufu afanya kufuru. Anayejipa utukufu afanya kufuru. Na anayepewa utukufu akanyamaza afanya kufuru. Mungu hagawani utukufu na mwanadamu wala kiumbe chochote.
Mfalme Nebukadreza alipojenga mji wa Babeli alijisifu na kusema "Mji huu sio Babeli mkubwa nilioujenga mimi, uwe kao langu la kifalme, kwa uwezo wa nguvu zangu?" Baada ya kumaliza maneno hayo akatupwa porini na kula majani pamoja na ng'ombe (Daniel 4:29-37).
_
Kujipa utukufu ni dhambi. Na ukipewa utukufu usipoukataa ni dhambi pia. Herode alipewa utukufu na watu wa Tiro na Sidoni hakukemea akafa.
Watu wa Tiro na Sidoni walimfuata Herode. Akiwa amekaa kwenye kiti chake cha ufalme akatoka kuongea nao. (Kwa sababu ya njaa yao) wakapiga kelele za shangwe wakisema “Hii ni sauti ya Mungu.” Papo hapo malaika wa Bwana akamwangusha Herode chini kwa sababu alijitwalia utukufu wa Mungu. Akaliwa na wadudu, akafa (Matendo 12:20-23).
_
Kwahiyo si Lugola tu anapaswa kutubu bali hata JPM pia kwa sababu alijitwalia utukufu wa Mungu (kwa kujua au bila kujua). Dr.Cyrilo anasema "Aliyemfanisha mwanadamu na Mungu ana matatizo, lakini aliyefanishwa na Mungu na akakaa kimya ana matatizo zaidi."
_
Pengine watu wameshajua anapenda sifa hivyo wapo tayari kumsifia vyovyote ili mradi wamfurahishe. Lakini wajue wanamchonganisha na Mungu. Na Mungu huwa hagawani utukufu na mwanadamu kamwe. Atajibu kwa moto.!
Akikujibu, naomba unitagi.Mheshimiwa mbunge nitajie majina mawili ya vituo vta afya vilivyojengwa kwenye Jimbo lako. Na unitajie majina mawili ya hospitali zenye hadhi ya wilaya zilizojengwa kwenye Jimbo lako. Pili tutajie bara bara ya lami inaitwaje iliyojengwa kwenye jimbo lako. Asante ni hayo tu Mbunge wangu na waziri.
Swali langu lina wiki mbili sasa hajawahi jibu hahaha. Sasa hivyo vilivyojemgwa viko wapi kwenye majimbo yetu havipo na majimbo yao havipo pia.Akikujibu, naomba unitagi.
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Duhyule mkata viuno aliyetumbuliwa si KAMFANANISHA NANII NA YESU? tusubiri Yesu mwenye wivu ajibu, maana hata Nkurunziza ali-m'bipu naye akapiga!
HAa ha ha, yule ni sawa na ripoti ya profesa OSORO kuhusu madini, rubbishKangi Lugola hata kwa kumwangalia tu unawaza kama si Mungu angekuwa wapi leo, maana pamoja na kuwa Mbunge mpaka Uwaziri, bado hana tofauti na mwanakijiji amabaye hakuwa kutoka Mwibara