Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?