Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

Nilikuwa sijasoma ID kumbe ni ww mwamba wa siginda. Chukua basi form ya uraisi utimize ile ahadi ulio andika kwenye mawe na karavati za madaraja nchi nzima 2015
Polepole kishasema Fomu imechapishwa moja tu, na Jiwe alishasema kwenye hotuba kule dodoma jimbo la ndugu-aai, kwamba kama mtu anafanya kazi vizuri kwanini uchukue fomu ya kumpinga, ? pale JIWE alikuwa anajizungumzia, za kuambiwa changanya na zako
 
Wewe ndiyo unatakiwa kuwa na adabu. Kubwa zima, PhD yenyewe umepewa kimagumashi. Kwani kujenga miundombinu kwa taifa si ni kazi yake? Au aliomba kura 2015 ili iweje! Sisi wananchi tusiyo na vyeo vyovyote ndiyo tuna haki Zaidi Ya kupima utendaji wa Rais, na siyo nyie viongozi wa nitolee
Mkuu umemjibu Mwigulu Nchemba kwa ukali kidogo ila huyu wazii wetu ambaye alitumbuiwa kwa mbwembwe na akarudishwa taratibu ajue tu, "Maendeleo ya nchi siyo hisani ya kiongozi,ni lazma kwa kutymia resorces zilizopo" tunalipa kodi tunataka kuona matunda ya kodi zetu
 
Polepole kishasema Fomu imechapishwa moja tu, na Jiwe alishasema kwenye hotuba kule dodoma jimbo la ndugu-aai, kwamba kama mtu anafanya kazi vizuri kwanini uchukue fomu ya kumpinga, ? pale JIWE alikuwa anajizungumzia, za kuambiwa changanya na zako

Hii ndo Africa kweli, democratic wachie USA, mwigulu afute mawe yake sasa andika 2035
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Mkuu naona kitila hatogombea jimbo lako baada ya sarakasi kali uliomwonyesha!!!kwa hili la lugola Yesu atajibu kule MOI!!!stay tuned!!!
 
Jibu nikua hakuna haki ndani ya ccm yaani ndani ya ccm ili upate teuzi kinacho kubeba sio vyeti wala character uliyo nayo bali kuna vitu vingine zaidi ya hapo ndio maana ndani ya ccm hakuna watu wenye hekima wala MAADILI tena maana ndani ya watu wametawaliwa na tamaa ya madaraka na fedha tena usishangae mtu kama Kange asipewe hata onyo la mdomo wala hata karipio kali kwa maana ndio mchezo ulivyo ndani ya ccm kuanzia mwenyekiti mpaka balozi wa nyumba kumi wote wamejaa tamaa ya fedha na madaraka.Aina hii ya serikali sio nzuri hata kidogo maana watu hujivua nguo zao hadharani au kujitweza utu wao ili waonekane unaweza kukuta mtu ni msomi kama Mwigulu lakini matendo yake yakafanana na mtu ambaye ajawahi fika shule kabisa.Hivyo kuendelea kusifu na kumwabudu mwenyekiti ndio njia pekee ya kusurvive hata kama wewe ni mwizi na kibaka utaendelea kula mema ya nchi.Plato anasema utaratibu wa aina hii sio mzuri kwani huzalisha watu wanafiki na wazandiki na sio wazalendo wakweli na mwisho wa siku serikali ya KIDIKTETA huzaliwa.Maana hufanya kiongozi asiwe na busara kwa kulewa sifa na kuendesha nchi anavyotaka ikiwamo kuvunja sheria na katiba kwa hiyo kwa muelekeo huu ni wazi kua wana mwandaa MAGU kua dikteta ilikiwemo kukiuka mihula ya kisheria ya kutawala.Alimradi wao na familia zao ziendelee kuneemeka tu.
 
Kimsingi ukibisha saana au ukikosoa saana utaletewa form za matokeo kwamba hukushinda kiahalali Bali ulibebwa na chama so ukijitia mjuaji itakula kwako hiyo slogan inayo wafanya wakose ujasiri.
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?

Ina maana Mwigulu mpaka sahizi hujaujua utaratibu?

Taarifa ya namna wagombea wa CCM watakavyopatikana ni public. Imekwishatangazwa. Huna taarifa?

Wagombea watajaza fomu, kisha watajadiliwa na kamati ya siasa ya Wilaya, kisha Mkoa. Majina yote na maoni ya Kamati za siasa, yanapelekwa Kamati Kuu. Kamati Kuu itateu majina matatu tu. Kisha majina hayo yatafungwa kwenye bahasha ya siri. Kwenye uchaguzi wa maoni, majina matatu tu yatasomwa mbele ya wapiga kura na wagombea wote. Watatu hao pekee ndio watakaopigiwa kura.

Majina hayo matatu yaliyopigiwa kura na kura zao, yatapelekwa Kamati Kuu. Kamati Kuu, itateua jina moja miongoni mwa majina hayo matatu, na kulipeleka jina hilo Tume ya Uchaguzi. Kamati Kuu hailazimiki kupeleka jina la aliyepata kura nyingi kuliko wote.

Kimsingi, wagombea wote wa CCM, safari hii, ni maamuzi ya Kamati Kuu. Na kwenye Kamati Kuu, kwa CCM ya sasa, maamuzi ni ya Mwenyekiti.

TISS wametawanywa nchi nzima kwaajili ya kupata majina ya watakaoruhusiwa kupigiwa kura. Kwenye utaratibu huu, kuna uzuri na ubaya wake.

Na fomu za maombi, safari hii ndiyo ya CCM ya Magufuli ni bure. Hakuna kulipia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?

Wewe pia ni msaka tonge!Njaa mbaya Sana,unaweza kuuza utu wako kwa mambo yasiyo na maana na kutoa sifa za kijinga ili uendelee kula.
 
👊👊👊

Wewe ndiyo unatakiwa kuwa na adabu. Kubwa zima, phd yenyewe umepewa kimagumashi. Kwani kujenga miundombinu kwa taifa si ni kazi yake? Au aliomba kura 2015 ili iweje! Sisi wananchi tusiyo na vyeo vyovyote ndiyo tuna haki zaidi ya kupima utendaji wa rais, na siyo nyie viongozi wa nitolee
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Ila mkuu kuna ‘korasi’ moja ulipiga ukapewa tena ’kiti’, nakupa tano!! Sasa hivi katibu wa maji, labda akatufute jimbo lingine tu, Tanzania ni kubwa! Viva mkulu! Ombi langu anzisha darasa Baba, watu wajifunze, siyo mtu anaimba tu flat, eti anategemea sifa zifike!!😂😂! I am just joking, don’t take it personal!
 
ccm kweli imeamua kubadilika,
huu utaratibu ni nzuri kwa kupata wabunge na mawaziri makini.mfano ndani ya miaka 5 magufuli ametumbua mawazir kibao kutokana mfumo uliokuwako,ila kwa utaratibu huu hata rushwa haitakuwepo,kwa sababu waweza toa halafu jina lako lisirudi
Paskali hataonekana hapa
 
"Bams" umeeleza vizuri kabisa,na kwa utaratibu huu ndio maana hata watia nia safari hawana mbwembwe kabisa,wamekumbwa na sintofahamu, manake kamati kuu itaongozwa na mwenyekiti wa chama DR MAGUFULI. na mimi naona hapa tutapata mawaziri wazur
kamati kuu magufuli,bashiru ,polepole,lukuvi, mangula.....WATIA NIA MWAKA HUU KAZI MNAYO!!!
 
Wanachama wa CCM na rushwa kwenye uchaguzi ni damudamu ndo maana wanaanza na kusifia ili wasogezwe mbele kwenye waamuzi wachache wakuwapa rupia. Sote, hata wakina Mbowe, tulikuwa wanachama wa Chama hicho na tulitoa rushwa tulipotaka kugombea nafasi yoyote ya uongozi chamani au Serkalini au tulipokea rushwa kama tulikuwa kwenye nafasi ya uamuzi. Wakati wa Uchaguzi bado ni wa neema katika Chama hicho.
 
Mwibara mzee anampitisha msiba sasa kangi kaona bora ajitoe ufahamu tu
Cyprian Musiba kamkalia vibaya Kange lugola ingawa walitishiana uchawi kurogana
 
Hilo tunalijua sana na ndio waone hasara ya kukosekana demokrasia ya kweli ya kuchagua na kuchaguliwa.

Sahihi.
muda wameuchezea kujadili ujinga tu sasa ujinga unawarudia kwa kasi ya ajabu waneanza kuchanganyikiwa hadi wanatia huruma.
NAAMINI UJINGA ULIOPO KWENYE VYAMA VYETU HIVI USINGEKUWAPO KAMA HAWA WABUNGE NA VYAMA VINGEENDESHA SIASA ZA HOJA NA SAFI .

Kwa sasa wamejitengenezea bomu sasa muda umewaacha na kalamu anayo mtu mmoja ambaye kama hamwelewani tu anakukatilie mbali 😂😂
 
Anadhani humu mitandaoni ni kama kwenye mikutano ya huko jimboni kwake, ambako anawahubiria kisha wanamshangilia. Humu watu wana akili zao, na watu wasiojulikana hawaji humu.
Wanaomshangilia jimboni mwake anawalipa kwanza bila hivo hata kofi 1 hawezipata
 
Back
Top Bottom