Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

wewe mwenyewe Ni mfano mzuri ...

USINGERUDI! narudia Tena USINGERUDI kwenye first eleven kama sio kwa mbinu Hii...

probably Kangi lugola amejifunza kutoka kwako....
Yesu ni sawa na Huyo mtu aliyemtaja Kangi, okay Dhambi ya kufuru hii, soon atajibiwa kwa moto na mwenye pumzi yake
 
Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa chama na kamati kuu.

Hivi katika mazingira hayo hata mngekuwa nyie mngefanya nini?

Hebu basi tujaribu kuwa waelewa basi, tunapoona watu wanasifu mpaka wanakufuru wanamwita JPM Mungu tuwavumilie hali ni mbaya huko ndani.

Kilichopo ni ama uteuliwe ugombee na usipoteuliwa kugombea nafasi ya kuteuliwa uDC na uRC nazo ni finyu list ni ndefu sana.

Hivyo kadri unavyofanya bidii kusifu ndiyo odds za kuula zinaongezeka
Ila mwingine ni ufara,haiwezekani udharirishe utu wako na familia yako kisa nafasi.Hivi watoto wako wakisikia umemuita jp Mungu na wakat huwa unawaambia Mungu hafananishi na mwanadamu huoni aibu?
 
Ndio sasa karibu nzi wote wa kijani wamekuwa hivyo
 
Jamaa wanapiga mapambio hatariiii....
bwana wa mabwana mungu wa miungu alufa na omera nan kama mwewe........
Yanakera, yaani walianza kusema "magu ni kama Nyerere, Mwigulu akasema ni zaidi ya Nyerere ,sasa kangi kaja na "ni zaidi ya Yesu" !
Mungu anasema mimi ni mwenye wivu na kwakuwa ana wivu hapendi mtu amchukulie sifa zake, na mtu akijaribu hivyo "humchukua" tusubirie tu, time will tell
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?

Acha kufundisha watu nidhamu ya woga na wala hajapotosha chochote. Nyinyi wabunge wa ccm mnamsifia rais ili mpate madaraka ya bwerere, mfano halisi ni wewe mwenyewe. Kama hiyo miradi ndio inayofanya kumsujudia na sio kulinda matumbo yenu, basi weupe huko Afrika kusini mpaka leo wangekuwa madarakani, maana wamefanya mara elfu ya alichofanya Magufuli.

Kimsingi ccm haina uwezo tena wa kushinda kwa ushawishi wa hoja, zaidi ya kushurutisha kwa kutumia vyombo vya dola, na hilo halina mjadala. Kwakuwa mmeondoa mfumo wa ushindani wa haki, na kumpa mtu, ndio hiyo mmeshia kuchafua bunge, badala ya kuongea hoja zenye msingi bunge limegeuka kama saloon ya wanawake, kuongea Majungu na kumsifia Magufuli. Huku mtaani tunawadharau kupita kiasi.
 
Kutoka Dar mpaka mwanza ni takribani KM 1200.

Maana ake ni kwamba serikali hii imejenga barabara 61 zenye urefu wa kutoka Dar-Mwanza.

Sasa ndugu Mwigulu Nchemba hizo barabara (KM 74,000=61 roads from DAR -MWZ) ziko wapi mbona hatujawahi kuziona?

Anadhani humu mitandaoni ni kama kwenye mikutano ya huko jimboni kwake, ambako anawahubiria kisha wanamshangilia. Humu watu wana akili zao, na watu wasiojulikana hawaji humu.
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Hizo kazi zimefanywa na Serikali au JPM..?afu sifa za hivyo huwezi kuzikuta nchi yoyote duniani...haiwezekani MTU mmoja tu afanye hayo
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Mkuu kuweni wakweli basi ,siku hizi hamfanyi kazi bali mnashindana kumsifia rais ili muendelee kuwepo kwenye ulaji,
Ila naona hiyo njia inawasaidia sana kupata mnachotaka,
Vipi lakini mwaka huu huchukui fomu ya kugombea urais?
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Mwigulu!
Naamini una uelewa wa kutosha!
Miradi ya nchi hii haijaanza kujengwa 2015 Bali tangu enzi za ukoloni! Kuna haja gani basi ya kujidanganya nafsi yako na za wengine kuwa magu kajenga miradi yote hii katika awamu yake?
Ulikuwa kwenye Baraza la mawaziri la Kikwete Tena wizara nyeti, ni sahihi kutamka kuwa awamu hiyo hamkujenga mradi wowote? Huoni kama unajicontradict mwenyewe kwa hoja uliyoiweka hapo?
Mimi naamini kuwa Jambo lolote ulililolifanya kwa ukamilifu huna haja ya kulinadi na kulitangaza kwa kujisifu mbele za watu bali Jambo hilo linatakiwa lijitangaze lenyewe! Na Kama ukiona unalitangaza, maana yake ni kuwa hukulifanya kwa ufasaha na inatakiwa kupuuzwa na kudharauliwa!
Dharau na kupuuzwa ndiyo yaliyojaa kwenye akili za watanzania kwa Sasa kwani wanaamini kuwa ccm halijafanywa inavyopasa! Huu ndio ukweli na ndio maana mmevuka mipaka ya kudhalilisha na kutikisa Imani za watu wengine kwa kumfananisha binadamu na Mtume wao!
Kubali kuwa mmevuka mipaka ya kukufuru na ikibidi mkemee hii tabia ya kifedhuli mnayoistawisha kwenye mioyo ya vizazi vyetu! Hii maonism mnayoipandikiza hapa kwetu haikuleta maendeleo kule china! You've to think different kwani naamini wewe ni mfuasi mzuri tu wa Kristo!
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Ndo afananishwe na yesu?
 
Apo umesomeka vizuri njaa mbaya sana, lazima wasifu, kuabudu na kuita majina yote mara Mungu, mara Yesu dah.

Amtegemeae Mwanadamu na amelaniwa na Mungu
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
pHd yako ni hasara kwa Taifa, Ingefaa asomeshwe mtu mwengine siyo wewe, umekuwa mzigo kwa taifa kwa kuchafua mawe nchi nzima , umekuwa mzigo kwa kutofikiri na kutumia elimu yako vibaya , Mungu atakulipa sawasawa na unachopanda
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?

Nilikuwa sijasoma ID kumbe ni ww mwamba wa siginda. Chukua basi form ya uraisi utimize ile ndoto ulio andika kwenye mawe na karavati za madaraja nchi nzima 2015
 
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Wewe ndiyo unatakiwa kuwa na adabu. Kubwa zima, phd yenyewe umepewa kimagumashi. Kwani kujenga miundombinu kwa taifa si ni kazi yake? Au aliomba kura 2015 ili iweje! Sisi wananchi tusiyo na vyeo vyovyote ndiyo tuna haki zaidi ya kupima utendaji wa rais, na siyo nyie viongozi wa nitolee
 
Back
Top Bottom