Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

Unaeza ukawa na odds nyingi halafu mkeka ukachanika.
 
Ndugu Mwigulu hivyo vyote ulivyovitaja havijawahi kuuzika ni vya kawaida sana na ni jukumu la serikali kufanya hayo si ombi ni lazima kwani ni kodi zetu.Na kama hivyo ndio vingekuwa vinawauza basi msingekuwa mnawabana wapinzani kiasi hicho ndani ya Bunge na nje ya bunge kuonyesha hamjiamini.
 
Hawa WAPUUZI kwa jinsi walibyokuwa DESPERATE kupata TEUZI wangeambiwa washikwe makalio wangekubali. Wanainyesha UJINGA wa hali ya juu kwa jinsi WANAJIVYOJIKOMBA kwa huyo dikteta.
Naonea huruma vyuo walivyosoma, yani mtu ana shahada analamba makalio namna hii, je lasaba kama mlinga na kibajaji wafanyeje?
 
Reactions: BAK
[QUOTE="tindo, post: 35699428, Kama hiyo miradi ndio inayofanya kumsujudia na sio kulinda matumbo yenu, basi weupe huko Afrika kusini mpaka leo wangekuwa madarakani, maana wamefanya mara elfu ya alichofanya Magufuli.
 
[QUOTE="tindo, post: 35699428, Kama hiyo miradi ndio inayofanya kumsujudia na sio kulinda matumbo yenu, basi weupe huko Afrika kusini mpaka leo wangekuwa madarakani, maana wamefanya mara elfu ya alichofanya Magufuli.
Point, weupe wangeongezewa muda huko south Africa, amefanya mengi na hakuna tangu iumbwe dunia aliyefikia
 
Hakuna mlichofanya Cha maana nchi hii,najua unaufuatilia huu uzi,muulize jirani yako Mary Nagu kaifanyia Nini Jimbo lake maana hizo km za barabara hazipo Wala hizo zahanati
 
Kwani wabunge wa CCM walikaa kikao wakamfananisha Magufuli na Yesu?
Acha kujumuisha wabunge ambao hawakusema Wala hawakuwa kichwani mwa lugola. Hayo kasema lugola peke Yake siyo wabunge wa CCM.
 
Endelea kulamba makalio, usije ukatupwa kwenye uteyuzi ujao! Mwanaume na akili zako unamfananisha magu na Yesu? Akili matope nyie!
Kwani mwigulu ni lugola? Lugola hakusema kwa niaba ya mwigulu.
 
Hakuna mlichofanya Cha maana nchi hii,najua unaufuatilia huu uzi,muulize jirani yako Mary Nagu kaifanyia Nini Jimbo lake maana hizo km za barabara hazipo Wala hizo zahanati
Jamaa ako anasema kazi alizofanya JIWE ndio zinawanadi, kweli kabisa, watu wanalimia meno, wameporwa korosho, wametukana viongozi wote wastaafu na kuwwaambia wanawashwa washwa, wanapeleka maendeleo kibaguzi na kikanda huku wakimkomoa Mbowe na biashara zake.
 
yule mkata viuno aliyetumbuliwa si KAMFANANISHA NANII NA YESU? tusubiri Yesu mwenye wivu ajibu, maana hata Nkurunziza ali-m'bipu naye akapiga!
Yesu wa CCM!!! 🤪🤪🤪. Naomba mwenye jina lake aje faster afanye yake
 
Yesu wa CCM!!! 🤪🤪🤪. Naomba mwenye jina lake aje faster afanye yake
Kuna watu wanamchukulia Mungu ktk wepesi na mawazo ya kibinadamu. Mungu ni mkuu sana (beyond imagination). Ukitizama anga utagundua dunia yenyewe si kitu. Anga linaogofya. Kuna mabilioni ya "Galaxy" na kila Galaxy ina mabilioni ya Sayari. Kadunia ni kama kapunje ka mchanga katikati ya bahari. Aliyefanya yote hayo ni Mungu mwenye enzi. Yeye hafananishwi wala halinganishwi.

Kumpa mtu sifa za Mungu ni kumfanya mtu huyo kuwa sanamu. Na kumtukuza mwanadamu ni kuabudu sanamu. Mungu anasema "Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu" (Isaya 42:8)
_
Kuamini kwamba bila mtu fulani hii nchi haiwezi kwenda ni kumpa mtu huyo sifa za Mungu. Mungu aweza kumnyanyua mtu yeyote kwa wakati wowote apendao. Kwahiyo usiseme bila fulani nchi haiwezi kwenda. Sema bila Mungu.

Anayempa mtu utukufu afanya kufuru. Anayejipa utukufu afanya kufuru. Na anayepewa utukufu akanyamaza afanya kufuru. Mungu hagawani utukufu na mwanadamu wala kiumbe chochote.

Mfalme Nebukadreza alipojenga mji wa Babeli alijisifu na kusema "Mji huu sio Babeli mkubwa nilioujenga mimi, uwe kao langu la kifalme, kwa uwezo wa nguvu zangu?" Baada ya kumaliza maneno hayo akatupwa porini na kula majani pamoja na ng'ombe (Daniel 4:29-37).
_
Kujipa utukufu ni dhambi. Na ukipewa utukufu usipoukataa ni dhambi pia. Herode alipewa utukufu na watu wa Tiro na Sidoni hakukemea akafa.

Watu wa Tiro na Sidoni walimfuata Herode. Akiwa amekaa kwenye kiti chake cha ufalme akatoka kuongea nao. (Kwa sababu ya njaa yao) wakapiga kelele za shangwe wakisema “Hii ni sauti ya Mungu.” Papo hapo malaika wa Bwana akamwangusha Herode chini kwa sababu alijitwalia utukufu wa Mungu. Akaliwa na wadudu, akafa (Matendo 12:20-23).
_
Kwahiyo si Lugola tu anapaswa kutubu bali hata JPM pia kwa sababu alijitwalia utukufu wa Mungu (kwa kujua au bila kujua). Dr.Cyrilo anasema "Aliyemfanisha mwanadamu na Mungu ana matatizo, lakini aliyefanishwa na Mungu na akakaa kimya ana matatizo zaidi."
_
Pengine watu wameshajua anapenda sifa hivyo wapo tayari kumsifia vyovyote ili mradi wamfurahishe. Lakini wajue wanamchonganisha na Mungu. Na Mungu huwa hagawani utukufu na mwanadamu kamwe. Atajibu kwa moto.!
 
Huyu mzee wanyiramba wenzake wamejaa shida yeye anakula pipi, eti kazi JK alijenga vyuo vikuu kama Udom, N Mandela n.k, Hosps Benjamini Mkapa, JKCI, Mlonganzila na Hosp za rufaa za mikoa, barabara lami mikoa yote, daraja Kigamboni, la Mkapa, kule kwenu Sibiti n.k kuajiri kila mwaka waalimu zaidi ya elfu 20, kada zingine zaidi ya elfu 40 kila mwaka, kupandisha mishahara na madaraja n.k mengine mengi
 
Ee bwana mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na nchi jina lako litukuzwe
 
Yeye mwenyewe Iramba zimejaa nyumba za tembe na shida tupu
 
Acha kutuangusha boss, yaani kinyesi anye mwingine wewe ujipake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…