Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

Kazi nzuri alizozifanya Magufuli ndo zimepelekea baadhi yenu muanze kumlinganisha Magufuli na Yesu Kristo? Kauri ya Kangi Lugola, ninyi Wabunge wetu mumeamua kuiacha kwenye Hansadi!
 

Ati PhD holder! Hayo yote uliyo yataja marais waliopita waliyafanya zaidi waliotoa ajira kwa vijana na waliongeza Mishahara kwa wafanyakazi.

Wewe mwenyewe isungekuwa kusifu na kuabudu huo uwaziri usinge upata tena.
 
Ndo umfananishe na Yesu? R u serious?
Sifa gani hizo?
Mungu hadhihakiwi mtapata majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well narrated [emoji120]
Sina cha kuongeza umemaliza mpendwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikujibu, naomba unitagi.
 
Tusipoangalia safari hii mfalme wa wayahudi atabebwa mgongoni..
 

Na Bado mnatuambia tozo ndio zimefanya hayo yote?

"...Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few..."
 
Kangi Lugola hata kwa kumwangalia tu unawaza kama si Mungu angekuwa wapi leo, maana pamoja na kuwa Mbunge mpaka Uwaziri, bado hana tofauti na mwanakijiji amabaye hakuwa kutoka Mwibara
HAa ha ha, yule ni sawa na ripoti ya profesa OSORO kuhusu madini, rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…