Tetesi: Hii ndiyo supu ya popo huko China

Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea,Masasi Na sehem zingine karibuni kwa maoni

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusini ndio wanakula popo?
 
Vipi hawajasema kama inaongeza nguvu za kiume?
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea,Masasi Na sehem zingine karibuni kwa maoni

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wamezidi nao kila kitu wanakula khaaa...acha waugue tu hakuna namna...Sometimes Mungu hufanya hivyo ili kutupunguza duniani
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom