NYOTIENO JARIEKO
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 196
- 324
Hata kama hatujaenda Mereka ni lkn kwa hili ni chai.Mbna marekan kuna migahawa ya nyama za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama hatujaenda Mereka ni lkn kwa hili ni chai.Mbna marekan kuna migahawa ya nyama za watu
Kusini ndio wanakula popo?Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.
Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea,Masasi Na sehem zingine karibuni kwa maoni
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.

Mrembo kwani wewe sio mroho?
Uchina na dunia kwa ujumla inahaha kupata tiba na chanjo ya kirusi cha Corona, kirusi hicho kimetokana na ulaji wa supu ya popo.
Kwa wazoefu na walaji kupeana uzoefu jinsi ya kumuandaa huyu popo mana kwa sura tu anaogopesha. Wenzangu wa Nanjilinji, Nachingwea, Masasi na sehemu zingine karibuni kwa maoni.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa tabia hizi wasipate korona tu? mende, popo, nyoka, nk. hapo utakuta kuna mdudu walikuwa wanajaribu kumla!
wamezidi nao kila kitu wanakula khaaa...acha waugue tu hakuna namna...Sometimes Mungu hufanya hivyo ili kutupunguza duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mimi ni mroho kwa baadhi ya vyakulaMrembo kwani wewe sio mroho?
Hivi na vinyonga wanakulagaTatizo wanajifanya walafi, wenyewe kila kitu wanakula, mbwa, konokono, Chura, paka, mjusi, nyoka, na vingine vingi tu
Sent using Jamii Forums mobile app