Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Hii haipingiki japo Mwalimu Nyerere alifanya mengi mazuri hiyo haimaniishi ya kwamba hakufanya hakuteleza pia Mwalimu Nyerere hii ndiyo Tanzania aliyokuwa anaitaka Mwalimu kwa kujua au kutojua Mwalimu alitengeza uoga kwenye nchi hii watu wawe waoga kuhoji kila kitu wawe bwana ndiyo tu kuna namna pia Mwalimu legacy yake moja ni kutengeza uoga hakuweka misingi mizuri ya uongozi kwa mtu anayemfuatia
Mwalimu Nyerere ndiyo source ya mwendelezo wa kufeli kwa nchii hii failed state
Hili ni jukwaa huru.
Mi nakumbuka babu wa Msoga alisemaga akistaafu anakwenda kulima mananasi Msoga sasa sijui kwanini anang'ang'ania mjini.Ninapo mkubali Nyerere aliamua kwenda kwao kulima msosi, lakini huyu Kikwete hatumuelewi kabisa kagoma kwenda kulima, kama anaona mazao hayalipi akalime hata bangi maana hakuna wa kumshitaki, siyo amekaza tu shingo kuibia Taifa bila jasho.
Mzee wa msoga amefanya jambo gani jema bwana mnafiki tu yule, juzi kati kwanza ametuita sisi mbwaa au hukusikia kwani.Mi nakumbuka babu wa Msoga alisemaga akistaafu anakwenda kulima mananasi Msoga sasa sijui kwanini anang'ang'ania mjini.
Ila mimi simuombei mabaya kama wengine wanavyomuombea mabaya yako mazuri mengi tu kafanya mfano mvumilivu wa wapinzani.MUNGU ndio anapanga hatima ya mtu
Nyerere alivyorudi Butiama alikuwa mkulima mzuri sana.Hata tatizo la ugonjwa wake binti yake Rozi(rip) alipata kusema ana wasiwasi madawa ya mimea yatakuwa ni moja ya kichocheo cha baba yake kupata cancer ya damu
Kumridhisha binadamu ni jambo gumu sana. Huwezi kupendwa na binadamu wote.YESU pamoja na nia yake nzuri kuleta injili lakini walimsulubu.Mzee wa msoga amefanya jambo gani jema bwana mnafiki tu yule, juzi kati kwanza ametuita sisi mbwaa au hukusikia kwani.
Sawa tuishie hapo, ila ukweli upo wazi huyo mzee ni mnafiki.Kumridhisha binadamu ni jambo gumu sana. Huwezi kupendwa na binadamu wote.YESU pamoja na nia yake nzuri kuleta injili lakini walimsulubu.
Hii ya kuwaita mbwa sina uhakika ila inabidi nikuamini usemacho.
Mjusi hana macho lakini ukimbana vizuri kwenye kona anaweza kukuuma kama defence mechanism
Paka ni mnyama mzuri mpole mkiwa naye nyumbani hata wewe mmiliki wake muiingize kwenye chumba uanze kumpiga uone atakufanya nini.
Mnamzushia kifo na mabaya mnafikiria nini lazima ajibu mapigo?