Hii Ndiyo Teknolojia sasa, Baada ya Miaka 100 Israel Imefanikiwa kuunda hii kitu.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki.

20240414_092655.jpg

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya balestiki eneo lingine nje ya target 🎯 iliyokusudiwa.

Hii inaweza kudhihirisha kuwa Israel ina mifumo mingi ya siraha za ulinzi na haitumiki yote ila wanatumia kulingana na tukio au vita wanayokumbana nayo.

Makombora hayo ya ballistic yaliyorushwa kwa wakati mmoja na nchi ya Iran.
 
Kwa upande mwingine bado nitakuwa na shaka, maana Iran na washirika wake ni wamepanga kuifuta Israel kuwa nchi bali jangwa, kutokana na mawe wanayoyarusha to Israel.
 
Acha ujinga %90 ya mashambulizi yamezuiliwa na Marekani, Uingereza,na Ufaransa lakini bado mengine yakapenya.
Acheni kuipa Israel ukubwa isiyo kuwa nao.
 
Kwa kipindi hichi vita ni vya ki sayasi zaidi.
 
Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki.

View attachment 2962984

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya balestiki eneo lingine nje ya target 🎯 iliyokusudiwa.

Hii inaweza kudhihirisha kuwa Israel ina mifumo mingi ya siraha za ulinzi na haitumiki yote ila wanatumia kulingana na tukio au vita wanayokumbana nayo.

Makombora hayo ya ballistic yaliyorushwa kwa wakati mmoja na nchi ya Iran.
Hizo ni Ngonjera tu na Propaganda
Angalia Hapa Mifumo toi Ilivyo kuwa Inahaha Kutungua na Bado Vitu Vinajipigia

View: https://twitter.com/_AfricanSoil/status/1779400087019327523?t=eSUMEDy_K9_AgA8Am47wpg&s=19
 
Technologia inabadilika kila siku hivyo kusema sijui miaka 100 ni upotoshaji kwani miaka 100 iliyopita hata hayo makombora hayakuwepo.
Mfano; Huo ugunduzi unaweza kufanya kazi pengine kwa miaka miwili tu...
 
Acha ujinga %90 ya mashambulizi yamezuiliwa na Marekani, Uingereza,na Ufaransa lakini bado mengine yakapenya.
Acheni kuipa Israel ukubwa isiyo kuwa nao.
Sasa wewe mshamba soma hii, ukiwa mjinga na mshamba uwe na akili ya kuelewa ili ikusaidie.

Sijaandika kutoka kichwani au kutunga, hiyo story ni kutoka media tofauti, ukinikasirikia mimi kisa siyo muslim unapata wapi akili hiyo ya kutukana waliounda mfumo?.
 
Hizo ni Ngonjera tu na Propaganda
Angalia Hapa Mifumo toi Ilivyo kuwa Inahaha Kutungua na Bado Vitu Vinajipigia
Naelewa ufaham wengi humu hatuna uelewa wa mambo ni uenda tunakopi au kuandika tu.

Tofautisha ballistic bomb na drones bomb kijana!!.
 
Israel bila US, UK, FRANCE etc anaweza kupigwa hata na burundi
Us and Europe provide resources km materials and cash,Israel wanavichwa vikali sn so US anawatumia jamaa kwakua genius ni wengi kuliko nchi yyte other than China/Russia kingine US anamtumia Israel kwakua anahitaji malighafi zilizojaa mashariki ya kati wkt wanapigana yeye anabeba gas,mafuta,madini and anything reserved kwenye nchi husika mfano ni Palestina wamebeba kila kitu kule hawana chochote
 
Na ndio maana bila mabwana zao, burundi inambonda vzr tu.
 
Back
Top Bottom