Acha ujinga %90 ya mashambulizi yamezuiliwa na Marekani, Uingereza,na Ufaransa lakini bado mengine yakapenya.Kwa upande mwingine bado nitakuwa na shaka, maana Iran na washirika wake ni wamepanga kuifuta Israel kuwa nchi bali jangwa, kutokana na mawe wanayoyarusha to Israel.
Hizo ni Ngonjera tu na PropagandaKwa zaidi ya miongo miwili iliyopita wanasayansi na wahandisi wa Israeli walibuni na sasa mfumo huo wa mihale (wave) wa kukatiza makombora ya balistiki.
View attachment 2962984
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Teknolojia ya vita, leo mfumo huo umefanikiwa kwa asilimia 100% kuyapereka makumi ya makombora ya balestiki eneo lingine nje ya target 🎯 iliyokusudiwa.
Hii inaweza kudhihirisha kuwa Israel ina mifumo mingi ya siraha za ulinzi na haitumiki yote ila wanatumia kulingana na tukio au vita wanayokumbana nayo.
Makombora hayo ya ballistic yaliyorushwa kwa wakati mmoja na nchi ya Iran.
Kupata vichekesho kama hivi huwa mnabonyeza ngapi?Israel bila US, UK, FRANCE etc anaweza kupigwa hata na burundi
Andika neno KINENA KINENE kwenda no. 15780Kupata vichekesho kama hivi huwa mnabonyeza ngapi?
Sasa wewe mshamba soma hii, ukiwa mjinga na mshamba uwe na akili ya kuelewa ili ikusaidie.Acha ujinga %90 ya mashambulizi yamezuiliwa na Marekani, Uingereza,na Ufaransa lakini bado mengine yakapenya.
Acheni kuipa Israel ukubwa isiyo kuwa nao.
Naelewa ufaham wengi humu hatuna uelewa wa mambo ni uenda tunakopi au kuandika tu.Hizo ni Ngonjera tu na Propaganda
Angalia Hapa Mifumo toi Ilivyo kuwa Inahaha Kutungua na Bado Vitu Vinajipigia
Us and Europe provide resources km materials and cash,Israel wanavichwa vikali sn so US anawatumia jamaa kwakua genius ni wengi kuliko nchi yyte other than China/Russia kingine US anamtumia Israel kwakua anahitaji malighafi zilizojaa mashariki ya kati wkt wanapigana yeye anabeba gas,mafuta,madini and anything reserved kwenye nchi husika mfano ni Palestina wamebeba kila kitu kule hawana chochoteIsrael bila US, UK, FRANCE etc anaweza kupigwa hata na burundi
Na ndio maana bila mabwana zao, burundi inambonda vzr tu.Us and Europe provide resources km materials and cash,Israel wanavichwa vikali sn so US anawatumia jamaa kwakua genius ni wengi kuliko nchi yyte other than China/Russia kingine US anamtumia Israel kwakua anahitaji malighafi zilizojaa mashariki ya kati wkt wanapigana yeye anabeba gas,mafuta,madini and anything reserved kwenye nchi husika mfano ni Palestina wamebeba kila kitu kule hawana chochote