Hii ndiyo top 5 ya mameneja bora wa muziki Tanzania

Hii ndiyo top 5 ya mameneja bora wa muziki Tanzania

Seven amefanya kitu gani cha maana. Hebu acheni kumkuza. Amemkuta Alikiba yupo juu, amedandia tu. Hafai hata kuitwa Manager.
 
hapo ni Said Fella na Asha Baraka tu
 
Asha Baraka anastahili no1, then Fella
 
Said Fella ndio meneja bora kabisa kuwai kutokea kwenye muziki wetu. Kusimamisha brand kubwa kama Juma Nature /wanaume na Diamond /wasafi sio kitu kidogo. Japo Aslay kamdiss kwenye wimbo wake mpya nibebee eti usiwe kama mchonga vinyago ila nayo ni brand iliyosimamishwa na fella.
 
Seven amefanya kitu gani cha maana. Hebu acheni kumkuza. Amemkuta Alikiba yupo juu, amedandia tu. Hafai hata kuitwa Manager.
hivi unamjua vizuri seven huyo ndio aliyemfanya kiba kimataifa afanye show mambo kibao sema wewe sijui wa wapi?
 
wakati Alikiba anaimba na R. Kelly Seven alikuwepo!!?
ndio maana nakuambia wewe hujui chochote upo upo kiba na seven wanamiaka kumi hivi na ndio aliyemfanya kiba aende nje ya nchi kiba alikuwa wa ndani tu
 
Back
Top Bottom