Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
1. Said Fella
2. Babu Tale
3. Asha Baraka
4.Sallam A.K.A Mendez
5. Seven Mosha
2. Babu Tale
3. Asha Baraka
4.Sallam A.K.A Mendez
5. Seven Mosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu toa sababuNamba moja ni unazi wako kwa diwani lakini hastahili!
mkuu kamwona mendez kwa kuwa show za hatarKwanini mkuu toa sababu
Okay jiniaz, ipo wapi THT? chaliiii failureMie nadhani wa 4 na wa 5 ungewatoa kwanza!!
Kisha 1 na 2 umpe 'The Genius Himself' Ruge Mutahaba na Abdul Bonge (marehemu) wa TipTop.
Jide alitolewa na smooth vibes ya kusaga. ruge alikuwa dalali tuUsianze na THT ya juzi, tuanzie kwa Lady Jaydee!!
Kha!! hizi sasa sifa.Usianze na THT ya juzi, tuanzie kwa Lady Jaydee!!
Boss kamganda DANGOTE kaisahau Tiptop.1. Said Fella
2. Babu Tale
3. Asha Baraka
4.Sallam A.K.A Mendez
5. Seven Mosha
hivi unamjua vizuri seven huyo ndio aliyemfanya kiba kimataifa afanye show mambo kibao sema wewe sijui wa wapi?Seven amefanya kitu gani cha maana. Hebu acheni kumkuza. Amemkuta Alikiba yupo juu, amedandia tu. Hafai hata kuitwa Manager.
wakati Alikiba anaimba na R. Kelly Seven alikuwepo!!?hivi unamjua vizuri seven huyo ndio aliyemfanya kiba kimataifa afanye show mambo kibao sema wewe sijui wa wapi?
ndio maana nakuambia wewe hujui chochote upo upo kiba na seven wanamiaka kumi hivi na ndio aliyemfanya kiba aende nje ya nchi kiba alikuwa wa ndani tuwakati Alikiba anaimba na R. Kelly Seven alikuwepo!!?
Marehemu anafaida gani?Mie nadhani wa 4 na wa 5 ungewatoa kwanza!!
Kisha 1 na 2 umpe 'The Genius Himself' Ruge Mutahaba na Abdul Bonge (marehemu) wa TipTop.
Yuko wapi sasa?Usianze na THT ya juzi, tuanzie kwa Lady Jaydee!!