Hii ndo imefanya hasiwe shortlisted for interview?

Hii ndo imefanya hasiwe shortlisted for interview?

Wakuu nina mdogo wangu kamaliza chuo last year, grade IIIA, Kila kitu nilimuwekea ila mpaka sasahivi grade III wengi wamekuwa shortlisted for interview yeye Bado.

Nimeulizia nimeambiwa kwenye birth certificate lazima muhuri upigwe ndani ya cheti na sio pembeni ya cheti. Kama picha inavyoonesha.

Je, hilo ndiyo tatizo au ataitwa tu maana status Bado ni Received
Majina yametoka upo au haupo tupe mrejesho
 
Wakuu nina mdogo wangu kamaliza chuo last year, grade IIIA, Kila kitu nilimuwekea ila mpaka sasahivi grade III wengi wamekuwa shortlisted for interview yeye Bado.

Nimeulizia nimeambiwa kwenye birth certificate lazima muhuri upigwe ndani ya cheti na sio pembeni ya cheti. Kama picha inavyoonesha.

Je, hilo ndiyo tatizo au ataitwa tu maana status Bado ni Received
Shortlisting ni zoezi la kupunguza waombaji ili kubaki na idadi waliyojiwekea ambayo watamudu kuifanyia usahili.
Katika kufanya uchaguzi kuna kuangalia vigezo, uzoefu na uwezo na connection.
Wakishachuja mkabaki wenye vigezo wengi, wataendeleo kuchuja hadi ibaki ile namba ya wanaopaswa kuwa shortlisted, hapo unaweza ukachujika hata kama una sifa
 
Walimu wanashida gani? au kwavile makundi mengine mnayaogopa kuyasema basi walimu ndiyo mnatolea stress zenu, msisahau hata nyie ni zao la walimu na ndiyo wamewafikisha hapo .
Ukute yeye mwenyewe ni mwalimu usitilie maanan mambo ya humu kuhusu walimu mkuu fanya yako
 
Mm nawasihi tu, wasije kulalamika wametolewa maswali ya shule ya msingi
Hahahhah kwa walimu ni sawa tu hata wakitolewa vidudu ni jukumu lao

Majina yapo mengi sana mfano kemia wanahitajika watu 500 walioomba wapo 9,800 bila kuwa kumi bora hapo hutoboi
 
Back
Top Bottom