Hii ndo maana ya "Yas"

Hii ndo maana ya "Yas"

Mtandao wa tigo sasa uitwe "mtandao wa Yas" au uitwe "mtando wa Mixx". Hiyo ingekaa poa.
Lakini kusema "tigo pesa" iitwe "Mixx na Yas", hapana.
Au wangeita Yas pesa ili jina sijui alietunga alikuwa karewa pombe
 
Back
Top Bottom