Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Rejea kichwa cha Habari hapo juu
Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu.
Mechi hiyo ya kirafiki Manchester United waliondoka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Real Madrid