Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Point of correction let say kwa mechi znazohusisha Club mkuuUmepata wapi hiyo mkuu?
Kumbuka Fainali za Kombe la Dunia tarehe 16 julai 1950.
Brazil dhidi ya Uruguay.
Mechi hiyo imevunja rekodi zote na kuweka rekodi ambazo hazijavunjwa miaka zaidi 70 sasa.
watu 199,854 walihudhiria kwenye uwanja wa Maracana
View attachment 1873853
Stadium zilikuwa hazina SEATS au VITIUmepata wapi hiyo mkuu?
Kumbuka Fainali za Kombe la Dunia tarehe 16 julai 1950.
Brazil dhidi ya Uruguay.
Mechi hiyo imevunja rekodi zote na kuweka rekodi ambazo hazijavunjwa miaka zaidi 70 sasa.
watu 199,854 walihudhiria kwenye uwanja wa Maracana
View attachment 1873853
Hata Club, maracana ilikuwa Kubwa sanaPoint of correction let say kwa mechi znazohusisha Club mkuu
PiaPoint of correction let say kwa mechi znazohusisha Club mkuu
Sio kweli Bernabeu Stadium capacity 81004 tu,Glasgow stadium kama kwa mkapa tu, Nou Camp hata soccer city mkubwa mkuu hapa umepuyangaPia
-bernabeu imewahi kuingiza watu 129,000
-camp nou watu 120,000 etc
-kuna uwanja wa celtic mashabiki zaidi ya 140,000 wameingia etc.
Hebu tufuatilie, huo uwanja NI mkubwa kuliko Maracana?Rejea kichwa cha Habari hapo juu
Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu.
Mechi hiyo ya kirafiki Manchester United waliondoka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Real Madrid
Maracana wenyewe Stadium capacity ni 790000 ulijaza kwenye mechi hyo tu dhidi ya Uruguay watu 199,854Hebu tufuatilie, huo uwanja NI mkubwa kuliko Maracana?
Maracana umepunguzwa ulikua na capacity zaidi ya laki mojaMaracana wenyewe Stadium capacity ni 790000 ulijaza kwenye mechi hyo tu dhidi ya Uruguay watu 199,854
Mkuu Yani hio Attendance ya watu 100,000 hata top 10 haipo,Sio kweli Bernabeu Stadium capacity 81004 tu,Glasgow stadium kama kwa mkapa tu, Nou Camp hata soccer city mkubwa mkuu hapa umepuyanga