HII ndo Mikoa tajiri Tanzania (Kwa mujibu wa BOT), Mbeya yaishinda Arusha...

hahhahahha ahhahhahaha ahahaahhha ahahah
ahsante kwa mfano wako mkuu
 
Wanaopinga report ya BOT tunamashaka na taaruma zao maana hawaelewi maana ya utafiti
 
nyinyi bot huu ni upuuzi tu hii inamsaidia nn mkulima wa kijiji anaetumia jembe la mkono kule kijijini acheni kupumbaza watu mnatuletea uchumi wa makalatasi
Mkulima wa kijijini anaipata wapi the citzen. ...chekecha ubongo wako
 
Kudadeki BOT wameisahau Brazil ya TZ Singida
 
Hi taarifa haina ukweli ndani yake...!
Kwani utalii umekuwa ukiingiza zaidi ya 16% ya pato LA taifa na lango kuu la utalii ni Mt. Kilimanjaro,sasa leo ukiniambia kwamba hiyo mikoa inashika namba 7 na 9 ni vigimu kukubaliana na hili na isitoshe mtoa Uzi ameacha wazi bila kuweka ni kiasi gani katika mikoa ya Shinyanga........ !

NB:Aweke link yenye hizo taarifa za BoT ili tukubaliane nae.
 
Shinyanga na migodi yote ya madini lakini ni no 4?kuna tatizo
 
Hii ripoti ni ya lini?
Tunataka Ripoti angalau ya mwaka 2015 au 2016!
 
hivi hiyo kazi ya kutangaza mambo kama hayo si walitakiwa kufanya TRA

BOT wao si walitakiwa wahangaike na shilingi inavoporomoka thamani na kusababisha mfumuko wa bei

NAJIULIZA TU LAIKINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…