Hii ndo movie kali ya kutisha kaitizame

Hii ndo movie kali ya kutisha kaitizame

MOVIE KALI YA KUTISHA 🔥🔥

Mtoto wa AJABU movie Kali ya kutisha Sio kila mtoto wa kuishi naye wengine ni majini wazazi walijuta kwanini walimuokota huyu mtoto 🔥🔥🔥

Hii movie usipokimbia basi wewe Bingwa 😂😂


View: https://youtu.be/98pBUiOomKc

Kutishika ni jambo relative (yani halina universal application) kwahiyo wewe unaweza kuwa umetishwa na hiyo movie lakini mwingine akaiona sio yakumtisha.
 
Story yake inaendana na Superman lakini uyu dogo alikuwa muuwaji kinoma
 
Horror movies ukiweka mute ni kama Ze Komedi tu
 
Haina hata maajabu. Km ya kitoto toto
Screenshot_20250410_221219_Netflix.jpg
 
Back
Top Bottom