kwanini usiseme Tanzania.Kenya kungekua hakuna ufisadi na ukabila wangekua kama South Africa.
NYS watu wamepiga ksh 1.67 billion.Kenya kungekua hakuna ufisadi na ukabila wangekua kama South Africa.
Lazima... African way.NYS watu wamepiga ksh 1.67 billion.
Tanzania ambayo vyuo vikuu vinaenda kubaki vi inne. Tuasubiri sana.kwanini usiseme Tanzania.
swissme
Duuuh magufuri kiboko anamwamulisha mkandarasi na kumpa onyo barabara isiharibike na ole wake asikie barabara imeharibika mkandarasi hatopata tena tenda...!!
Haki ipi kiongozi....Tenda haki, malizia sentensi yako!