Hii ndo Nairobi southern ByPass aliyozindua Rais Magufuli katika Picha

Hii ndo Nairobi southern ByPass aliyozindua Rais Magufuli katika Picha

Duuuh magufuri kiboko anamwamulisha mkandarasi na kumpa onyo barabara isiharibike na ole wake asikie barabara imeharibika mkandarasi hatopata tena tenda...!!
sifieni ujinga tuu.Ndo kilichobakia sasa.
 
Southern Bypass ..
14360214_1112789232144440_1129842052_n.jpg
 
Jamaa fala sana inakuwaje anaenda zindua kitu kizuri namna hiyo wakati kwake hana hata ratiba ya kuwa nacho
 
Naona Picha Mbili za project moja kuna misitu na moja kuna mji
 
Wakati JPM akifungua daraja la kigamboni alirusha kijembe kwa Kenya kwamba waende watangaze kwamba hili daraja nalo ni lao. Nahisi walimpa fursa ya kufungua hiyo barabara kama kujibu mapigo maana hata sisi flyover kama hiyo hatuna. Ingawa tunategemea kuwa na ya TAZARA lakini pia walitaka kumuonyesha they are ahead.
 
Safi sana kenyans
Kenya katika miundo mbinu wako mbali siku nyingi toka wakati wa ukoloni wazungu walijenga has a Nairobi hata fedha zetu Uganda na Tanzania zimejenga Kenya pia kenya barabara zake kwa ukubwa no ndogo kuliko Tanzania sisi barabara za maana zimeanza jengwa baada ya Uhuru
 
Wakati JPM akifungua daraja la kigamboni alirusha kijembe kwa Kenya kwamba waende watangaze kwamba hili daraja nalo ni lao. Nahisi walimpa fursa ya kufungua hiyo barabara kama kujibu mapigo maana hata sisi flyover kama hiyo hatuna. Ingawa tunategemea kuwa na ya TAZARA lakini pia walitaka kumuonyesha they are ahead.
umeona, ana maneno mengi kutafuta sifa, Kenya wanasema kusema na kutenda
 
Back
Top Bottom