MoH kuna sakata la 3.2b balaaa...hawacheki pesa hawa jamaaNYS watu wamepiga ksh 1.67 billion.
Duuuh magufuri kiboko anamwamulisha mkandarasi na kumpa onyo barabara isiharibike na ole wake asikie barabara imeharibika mkandarasi hatopata tena tenda...!!
CCM hawaonagi aibu.Amazingly Beautiful...
ccm lazima waone aibu.
![]()
Angalau wametumia 68% kufikiri.Kenya kungekua hakuna ufisadi na ukabila wangekua kama South Africa.
The bypass starts from Mombasa Road and ends at the Kabete- Limuru Road in Kikuyu town. Certain sections were completed many months ago. The project was funded by the Kenyan government and the China Exim bank at a cost of Sh18 billion.
Despite all the challenges and delays, it turned out beautiful. Check out these pictures.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mshipa wa aibu ulijiondokea na mwenyeweAmazingly Beautiful...
ccm lazima waone aibu.
![]()
BeautifulAmazingly Beautiful...
ccm lazima waone aibu.
![]()
Kuna saa nikikaa nikiiwazia hii nchi na wanaojiita wasomi huwa napatwa na mfadhaiko wa akili sijui kwanini siku hizi nimejiachia tu unaweza kuwa chizi bure hasa pale unapotazama kwenye luninga nchi za wenzetu zilivyo juu sijui tumelogwa na nani wallah Rais namwona kabisa kuna hatua anataka kupiga mbele lakini kuna watu na viatu huku nyuma hawaamini kama wakina Tomaso .Tuliposema ni makosa kuweka stop sign kwenye junction ya flyover kama kwenye project ya 'Ubungo flyover'; na access and exit lanes za Kigamboni Bridge pale port access rd.; tuliambiwa tuna maneno mengi. Flyover ikilazimishwa kwenye nafasi ndogo matokeo yake ni vurugu zaidi. Hebu ninyi highway designers wa TZ jifunzeni mambo hayo (access and exit lanes palipo na turnpike) kama kwenye hiyo ya Kenya basi! Halafu mrekebishe design yenu ya Ubungo kabla ya project kuanza.
South Africa wasingekuwa na ile Apartheid na Xenophobia wangekuwa kama USKenya kungekua hakuna ufisadi na ukabila wangekua kama South Africa.
Kwani wako kama nchi gani ya africa?.Kenya kungekua hakuna ufisadi na ukabila wangekua kama South Africa.
Nilifungua hio thread ilikuwa balaa...hio ya Nairobi iko proper, gari zinaingia na kutoka upande wa kushoto. Exit na entry zimepishana umbali fulani hata magari hayawezi kuingiliana.Tuliposema ni makosa kuweka stop sign kwenye junction ya flyover kama kwenye project ya 'Ubungo flyover'; na access and exit lanes za Kigamboni Bridge pale port access rd.; tuliambiwa tuna maneno mengi. Flyover ikilazimishwa kwenye nafasi ndogo matokeo yake ni vurugu zaidi. Hebu ninyi highway designers wa TZ jifunzeni mambo hayo (access and exit lanes palipo na turnpike) kama kwenye hiyo ya Kenya basi! Halafu mrekebishe design yenu ya Ubungo kabla ya project kuanza.
Aibu kwa lipi sasa!?Amazingly Beautiful...
ccm lazima waone aibu.
![]()
Ww upo wapi kwani?Kijiji gani unaishi?Njoo Dar utakutana na vitu hivyo.Amazingly Beautiful...
ccm lazima waone aibu.
![]()