Hii ndo Nairobi southern ByPass aliyozindua Rais Magufuli katika Picha

Duuuh magufuri kiboko anamwamulisha mkandarasi na kumpa onyo barabara isiharibike na ole wake asikie barabara imeharibika mkandarasi hatopata tena tenda...!!

hahaha. ...kampiga mkwara mkandarasi wa kenya??

Huyu jamaa bora tubaki nae humu humu kwetu asitoke nje sie tushamzoea, akitinga yueni huyu jamaa anaweza akastukiza hata ofisi ya katibu mkuu na kupekenyua wafanyakazi hewa wa yueni.
 
Get angry..get inspired. Nimekusoma Uhuru..
 
Lovely
Great step
Lesson learned!![emoji122] [emoji122]
 
Kenya kungekua hakuna ufisadi na ukabila wangekua kama South Africa.
Angalau wametumia 68% kufikiri.
 
Kuna saa nikikaa nikiiwazia hii nchi na wanaojiita wasomi huwa napatwa na mfadhaiko wa akili sijui kwanini siku hizi nimejiachia tu unaweza kuwa chizi bure hasa pale unapotazama kwenye luninga nchi za wenzetu zilivyo juu sijui tumelogwa na nani wallah Rais namwona kabisa kuna hatua anataka kupiga mbele lakini kuna watu na viatu huku nyuma hawaamini kama wakina Tomaso .
 
Nilifungua hio thread ilikuwa balaa...hio ya Nairobi iko proper, gari zinaingia na kutoka upande wa kushoto. Exit na entry zimepishana umbali fulani hata magari hayawezi kuingiliana.
 
Yakawaida tu hiyo
Tutamuita naye aje azindue Sarenda
 
Hawa jamaa hata hivyo wamepiga hatua aisee

No wonder wana uchumi wa kati, ngoja tuangalie JPM atatufikisha wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…