sifieni ujinga tuu.Ndo kilichobakia sasa.Duuuh magufuri kiboko anamwamulisha mkandarasi na kumpa onyo barabara isiharibike na ole wake asikie barabara imeharibika mkandarasi hatopata tena tenda...!!
[emoji53] [emoji53]Arusha tunapiga double road tunapeta tu
Kenya katika miundo mbinu wako mbali siku nyingi toka wakati wa ukoloni wazungu walijenga has a Nairobi hata fedha zetu Uganda na Tanzania zimejenga Kenya pia kenya barabara zake kwa ukubwa no ndogo kuliko Tanzania sisi barabara za maana zimeanza jengwa baada ya UhuruSafi sana kenyans
umeona, ana maneno mengi kutafuta sifa, Kenya wanasema kusema na kutendaWakati JPM akifungua daraja la kigamboni alirusha kijembe kwa Kenya kwamba waende watangaze kwamba hili daraja nalo ni lao. Nahisi walimpa fursa ya kufungua hiyo barabara kama kujibu mapigo maana hata sisi flyover kama hiyo hatuna. Ingawa tunategemea kuwa na ya TAZARA lakini pia walitaka kumuonyesha they are ahead.