Hii ndo sababu kwanini wazee wanapenda kuoa vitoto vya afu mbili

Weka picha
 
unachosema kina ukweli lakini unatakiwa upime Nyota ya huyo binti kuna vibinti vina nyota kali ukijichanganya vinakufyonza vibaya mno, mifano hai ipo Mengi, na Wastaafu kibao hasa hasa Wachaga.
Unaizungumziaje tofauti kubwa ya umri?
 
1 Kings 1:3-4
[3]So they sought for a fair damsel throughout all the coasts of Israel, and found Abishag a Shunammite, and brought her to the king.
Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
[4]And the damsel was very fair, and cherished the king, and ministered to him: but the king knew her not.
Naye kijana huyo alikuwa mzuri sana; akamtunza mfalme, akamtumikia; walakini mfalme hakumjua.
Acha upotoshaji Daudi hakumla Abishag
 
1 Wafalme 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Mfalme Daudi alikuwa mzee, mkongwe katika siku zake, nao wakamfunika nguo, lakini asipate moto.
² Kwa hiyo watumishi wake wakamwambia, Bwana wangu mfalme na atafutiwe kijana mwanamwali; naye asimame mbele ya mfalme, amtunze; alale kifuani mwako, ili bwana wangu mfalme apate moto.
³ Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.
⁴ Naye kijana huyo alikuwa mzuri sana; akamtunza mfalme, akamtumikia; walakini mfalme hakumjua.
 
Ubakaji na kukosa hekima

Watu malaya malaya ndo hadi uzeeni wanahangaika na vibinti vidogo. Hata Mfalme Daudi naye maisha yake yalijaa umalaya umalaya. Kwanini wafalme waliofuata hawakutafutiwa binti wabichi.

Neno la Mungu linatufunza na kutuonya pia. Mifano na shuhuda zilizoandikwa Humo ni funzo kwetu ili either tuige mazuri au tuyakwepe mabaya yaliyoandikwa Humo
 
Ni uongo Kwa sababu biblia imeeleza pia hapo hapo ukisoma zaidi
Unasema bado daudi haikumsaidia bado alitetemeka baridi
Samahani au nimegeuza biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…