Yaan tz ukiumwa unaambiwa hiki ukienda kwa wenzetu wanagundua tatizo tofauti na hii si mara ya kwanza tatizo nini madaktari wetu
Hahahaaa!Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
Hahaaa, ugonjwa wenu ni upi nyie?Wana assume.
Saivi wanaume wengi tukienda hospital tunaambiwa tuna UTI...inashangaza sana..ugonjwa huu si wetu kabisha.
Muda si mrefu tutaanza ambiwa tuna FISTULA.
Sasa hosp unafuataga nnMimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
Kama wewe ni mtu wa imani ktk Mungu kuna mambo mengine ni ya kupuuzia, utaamini ya kuwa ni mpango wa jamii flani kupunguza waafrika.Mambo ya kupima yanahitaji moyo.
Hapa nilipo najiona mwenye hatia.
Nilimshawishi jamaa tukachangie damu.
Tumechangia mimi niko na damu salama wakati jamaa amekutwa na tatizo la homa ya ini.
Imeniuma roho na najilaumu kumshawishi akatoe damu. Anaishi kwa hofu huku akisubiri kipimo kingine cha HCT.
Utakua tezi dumeHahaaa, ugonjwa wenu ni upi nyie?
teh unaenda kupima unaambiwa una ngomaHuwa wanasisitiza kupima mara kwa mara ila mimi huwa naogopa sana kupima maana inaweza ikawa ndio mwanzo wa matatizo kwangu
Mochwari kivip??Pia watanzania wengi wanafia mochwari...
Mmmh haya[emoji112][emoji112]View attachment 907311
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bila microscopMadaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
katika hatua ya mwanzo ya kugundua ugonjwa kabla ya kupima vifaa vinahusikaje?? daktari aliye vizuri anasikiliza kwanza maelezo ya mgonjwa kuanzia tatizo lilipo anza,hali ya mgonjwa kisha ndio ana suggest aina ya kipimo kutokana na elimu yake ya udaktari aliyoipata.Yani hapa bongo unapimwa na kuambiwa unaumwa hiki na unaenda hospital nyingine hapa hapa bongo unaonekana hauna shida hiyo.
Udaktari kazi ngumu sana hasa nchi zetu maskini zisizokuwa na vifaa vya kupimia vya teknolojia ya kisasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wana assume.
Saivi wanaume wengi tukienda hospital tunaambiwa tuna UTI...inashangaza sana..ugonjwa huu si wetu kabisha.
Muda si mrefu tutaanza ambiwa tuna FISTULA.