Hii ndo Tanzania: Kumbe Hawa wa nitarejea anaumwa moyo sio INI kama madaktari wa Tanzania walivyosema

Hii ndo Tanzania: Kumbe Hawa wa nitarejea anaumwa moyo sio INI kama madaktari wa Tanzania walivyosema

Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
Hahahaaa!
 
Wana assume.

Saivi wanaume wengi tukienda hospital tunaambiwa tuna UTI...inashangaza sana..ugonjwa huu si wetu kabisha.

Muda si mrefu tutaanza ambiwa tuna FISTULA.
Hahaaa, ugonjwa wenu ni upi nyie?
 
Mambo ya kupima yanahitaji moyo.
Hapa nilipo najiona mwenye hatia.
Nilimshawishi jamaa tukachangie damu.
Tumechangia mimi niko na damu salama wakati jamaa amekutwa na tatizo la homa ya ini.

Imeniuma roho na najilaumu kumshawishi akatoe damu. Anaishi kwa hofu huku akisubiri kipimo kingine cha HCT.
Kama wewe ni mtu wa imani ktk Mungu kuna mambo mengine ni ya kupuuzia, utaamini ya kuwa ni mpango wa jamii flani kupunguza waafrika.

Homa ya ini haina tiba Mkuu kwa mujibu wa madaktari.
 
Madaktari wanapiga ramli, wanakutizama usoni wanakuuliza unakunywa gongo unawaambia ndio, wanakuuliza unasikia maumivu wapi unawaambia hapa, wanatizama miguu na tumbo imevimba aaah... wanakonkuludi! INI limeunguzwa na pombe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bila microscop
 
Yani hapa bongo unapimwa na kuambiwa unaumwa hiki na unaenda hospital nyingine hapa hapa bongo unaonekana hauna shida hiyo.
Udaktari kazi ngumu sana hasa nchi zetu maskini zisizokuwa na vifaa vya kupimia vya teknolojia ya kisasa.
katika hatua ya mwanzo ya kugundua ugonjwa kabla ya kupima vifaa vinahusikaje?? daktari aliye vizuri anasikiliza kwanza maelezo ya mgonjwa kuanzia tatizo lilipo anza,hali ya mgonjwa kisha ndio ana suggest aina ya kipimo kutokana na elimu yake ya udaktari aliyoipata.
 
Wana assume.

Saivi wanaume wengi tukienda hospital tunaambiwa tuna UTI...inashangaza sana..ugonjwa huu si wetu kabisha.

Muda si mrefu tutaanza ambiwa tuna FISTULA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom