Yaani wanaingizwa 'mochwari' kabla hawajafa lakini wakiwa certified kuwa wameshakufa.Mochwari kivip??
Mambo ya kupima yanahitaji moyo.
Hapa nilipo najiona mwenye hatia.
Nilimshawishi jamaa tukachangie damu.
Tumechangia mimi niko na damu salama wakati jamaa amekutwa na tatizo la homa ya ini.
Imeniuma roho na najilaumu kumshawishi akatoe damu. Anaishi kwa hofu huku akisubiri kipimo kingine cha HCT.[/QUOTE
Jisifu ukemuokoa ama laa angeumwa ghafla mngesema kalogwa.
sasa unaendaga kufanya nini? au ukifika tu kwa IMANI ya kuona majengo unapona?Mimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
Duuh hii inaweza kuwa kweliPia watanzania wengi wanafia mochwari...
Sasa mkuu itabid utumie mitishambaMimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
tena wapunguziwe kabisa hawana utu kabisa, hili swala si mshahara ni utu, wito na hofu ya Mungu na wao hawana,Madaktari waboreshwe mishahara na vifaa tiba, huduma iwe bora zaidi
Kuna mgonjwa namjua aliambiwa anaumwa homa ya ini akapewa dawa za kutumia miezi sita,na akkambiwa atapona, kumbe danganya toto. Hakuna dawa?. Kama kuna ambaye anajua dawa tusaidiane wakuuKama wewe ni mtu wa imani ktk Mungu kuna mambo mengine ni ya kupuuzia, utaamini ya kuwa ni mpango wa jamii flani kupunguza waafrika.
Homa ya ini haina tiba Mkuu kwa mujibu wa madaktari.
Waambie mkuu... Watu wanachukulia udaktari ni kupiga ramliKatika art ya history taking kwa mgonjwa, ambayo inahusisha mazungumzo, vipimo vya mkono(physical examination ) pamoja na vipimo vya maabara (lab.investigation) baada Daktari unakuja na majibu ya mwisho kutokana na vipimo vyako, sasa kwenye kuutambua ugonjwa yaani Diagnosis kuna approach 3.. ya kwanza ni Provision diagnosis hii ni ile unayodhan wewe kabla ya vipimo, ya 2 ni differential diagnosis hii ni zile zingine unazozidhan na ya 3 ni diagnosis hii ni ile ambayo vipimo vimethibitisha, na kwenye kutibu pia unaweza ukatibu symptoms yaani dalili ili kumpa relief mgonjwa mfano pain etc endapo hujapata hasa nini anachoumwa mgonjwa wako, sasa ukimwambia relative kwamba mimi nadhani huyu mgonjwa wako ana shida ya spleen ila nenda mbele kwa vipimo zaidi yeye anatoka pale moja kwa moja akijua mgonjwa wake ana shida ya spleen, sio hivyo jaman, na naamin hapakuwa na vipimo vya kutosha vyenye uwezo kugundua hasa kwa 100% ni ugonjwa gan anaosumbuliwa nao, na haya yapo tu. Mwili wa mtu ni zaidi ya msitu wa Congo sio rahis kuuelewa wote bila msaada wa vipimo. Mtuamini tupo vizuri. Mungu amponye huyo binti. "WE TREAT AND GOD HEALS"
TRUE KWA 100%. Hilo nami lilipita akilini mwangu lakini naamua kukausha. Sisi Wabongo ni wanafiki kwa viwango vya SGR! Nilikuwa naangalia zile comment kwenye post ya Tale halafu likanijia hilo wazo,nikaogopa!Nimekaa nikajiuliza hivi ndo ikatokea bahati mbaya huko India huyo dada akazima(God forbid) wabongo walivyo wanafiki watageuza kibao na kusema katolewa kafara tena itashupaliwa hiyo balaa ila akirudi salama huwezi kuona hata pongezi zikitolewa....#WatanzaniaROHOmbaya
Mkuu nimewahi enda hosp. kujieleza dokta akanipa dozi ya maralia. natumia dawa nazidi kuwa dhaifu tu nikarudi tenaAcha tu wengi wanakufa kwa kutibiwa kitu ambacho hawaumwii