Hii ndo Tanzania: Kumbe Hawa wa nitarejea anaumwa moyo sio INI kama madaktari wa Tanzania walivyosema

Hii ndo Tanzania: Kumbe Hawa wa nitarejea anaumwa moyo sio INI kama madaktari wa Tanzania walivyosema

Ndio mana huwa tunaletewa zile hakaya za MAREHEMU AFUFUKA MOCHWARI!
 
Hosp zetu ni shider... Kuna kipindi niliiumwa hatari, nikaenda hosp mbili tofauti, nikapewa dawa za kutumia siku 90... sikupona, nilipoenda hosp ya ya pili wakanipa za kutumia siku 28...

hakuna nafuu, siku moja nikasema ngoja nitimbe Agha Khan. Nikajichanga, nikazama hosp, nikamuona Dr, nikamuelezea tatizo langu, nikaandikiwa vipimo. Baada ya vipimo, nikapewa dawa za siku 7... Tatizo likapotea forever....!

Hapa TZ kuna hosp na vijihosp
 
Mambo ya kupima yanahitaji moyo.
Hapa nilipo najiona mwenye hatia.
Nilimshawishi jamaa tukachangie damu.
Tumechangia mimi niko na damu salama wakati jamaa amekutwa na tatizo la homa ya ini.

Imeniuma roho na najilaumu kumshawishi akatoe damu. Anaishi kwa hofu huku akisubiri kipimo kingine cha HCT.[/QUOTE

Jisifu ukemuokoa ama laa angeumwa ghafla mngesema kalogwa.
 
India lazima wakutengenzee scene ili urudi tena
 
Mimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
sasa unaendaga kufanya nini? au ukifika tu kwa IMANI ya kuona majengo unapona?
 
Mimi mara nyingi hua nikiumwa nikienda hospital hua wakinipa medicine, situmii kwasababa hua nawaona madaktari na manesi ni vilaza sana kwahiyo hua naona ni waongo...
Sasa mkuu itabid utumie mitishamba
 
Madaktari waboreshwe mishahara na vifaa tiba, huduma iwe bora zaidi
tena wapunguziwe kabisa hawana utu kabisa, hili swala si mshahara ni utu, wito na hofu ya Mungu na wao hawana,
kumbuka siku zoote mshahara hautoshagi so kama huipendi kazi yako huipendi tuu mshahara si sababu, pia kama ma specialist unataka kuniambia wanamishahara midogo???
 
Ukienda hospitali wanakuandikia madawa meengi, kumbe wanabahatisha ugonjwa
 
Kama wewe ni mtu wa imani ktk Mungu kuna mambo mengine ni ya kupuuzia, utaamini ya kuwa ni mpango wa jamii flani kupunguza waafrika.

Homa ya ini haina tiba Mkuu kwa mujibu wa madaktari.
Kuna mgonjwa namjua aliambiwa anaumwa homa ya ini akapewa dawa za kutumia miezi sita,na akkambiwa atapona, kumbe danganya toto. Hakuna dawa?. Kama kuna ambaye anajua dawa tusaidiane wakuu
 
Katika art ya history taking kwa mgonjwa, ambayo inahusisha mazungumzo, vipimo vya mkono(physical examination ) pamoja na vipimo vya maabara (lab.investigation) baada Daktari unakuja na majibu ya mwisho kutokana na vipimo vyako, sasa kwenye kuutambua ugonjwa yaani Diagnosis kuna approach 3.. ya kwanza ni Provision diagnosis hii ni ile unayodhan wewe kabla ya vipimo, ya 2 ni differential diagnosis hii ni zile zingine unazozidhan na ya 3 ni diagnosis hii ni ile ambayo vipimo vimethibitisha, na kwenye kutibu pia unaweza ukatibu symptoms yaani dalili ili kumpa relief mgonjwa mfano pain etc endapo hujapata hasa nini anachoumwa mgonjwa wako, sasa ukimwambia relative kwamba mimi nadhani huyu mgonjwa wako ana shida ya spleen ila nenda mbele kwa vipimo zaidi yeye anatoka pale moja kwa moja akijua mgonjwa wake ana shida ya spleen, sio hivyo jaman, na naamin hapakuwa na vipimo vya kutosha vyenye uwezo kugundua hasa kwa 100% ni ugonjwa gan anaosumbuliwa nao, na haya yapo tu. Mwili wa mtu ni zaidi ya msitu wa Congo sio rahis kuuelewa wote bila msaada wa vipimo. Mtuamini tupo vizuri. Mungu amponye huyo binti. "WE TREAT AND GOD HEALS"
Waambie mkuu... Watu wanachukulia udaktari ni kupiga ramli
 
Nimekaa nikajiuliza hivi ndo ikatokea bahati mbaya huko India huyo dada akazima(God forbid) wabongo walivyo wanafiki watageuza kibao na kusema katolewa kafara tena itashupaliwa hiyo balaa ila akirudi salama huwezi kuona hata pongezi zikitolewa....#WatanzaniaROHOmbaya
TRUE KWA 100%. Hilo nami lilipita akilini mwangu lakini naamua kukausha. Sisi Wabongo ni wanafiki kwa viwango vya SGR! Nilikuwa naangalia zile comment kwenye post ya Tale halafu likanijia hilo wazo,nikaogopa!
 
Nimeamini watanzania wengi (>80%) ni vichwa maji sana ndio maana hatuendelei hata kidogo na serikali itatupelekesha mpaka basi.

Yaani mapovu yote mnayowatolea madaktari wa muhimbili ni sababu ya POST YA BABU TALE..
Pia hilo swala la ini ambalo waliligundua muhimbili ni nani aliona report yake??

Mbona mnakuwa wepesi wa kupwayuka bila kusoma report yoyote.
Mimi binafsi kitu nilichokishuhudia kwa mgonjwa ni ascites tu ambayo inaweza kusababishwa na matatizo ya ini ,moyo hata figo..

Sasa hayo mambo ya kutukana wataalamu wa muhimbili sababu babu tale kasema anaumwa moyo wakati aloyepost dar alisema ni ini naona ni uzwazwa tu wa kukosa akili
 
Acha tu wengi wanakufa kwa kutibiwa kitu ambacho hawaumwii
Mkuu nimewahi enda hosp. kujieleza dokta akanipa dozi ya maralia. natumia dawa nazidi kuwa dhaifu tu nikarudi tena

Namkuta doc. mwingine nae kumpa maelezo kaniandikia dawa za maralia, nikagoma maana nisha mwambia natumia yeye akabadiri kunipa aina nyingine.

Nikaenda vituo vya mtaani kupima nina amiba, yaani hawa jamaa ni muumba tu anatulinda
 
Kuna vilaza akiwemo yule nyumbu mangekimangi wanasema eti ji Jo Kusaga ndo anamlipia matibabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23]
 
Back
Top Bottom