Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

hii ndo top 5 ya wanahiphop itakayodumu milele bongo
  1. fid. q
  2. mwana fa
  3. jay mo
  4. nikki wa pili
  5. stamina
toa mtazamo wako unaikubali list hii kwa asilimia ngapi? je nani hafai kuwepo?NOTE;
"CHUKI BINAFSI HAZIHUSIKI"
 
Hip is the intelligence and hop is the movement you can learn too.
 
hii ndo top 5 ya wanahiphop itakayodumu milele bongo
  1. fid. q
  2. mwana fa
  3. jay mo
  4. nikki wa pili
  5. stamina
toa mtazamo wako unaikubali list hii kwa asilimia ngapi? je nani hafai kuwepo?NOTE;
"CHUKI BINAFSI HAZIHUSIKI"

wacha utt peleka thread yako ya kitt fb huko.hapa jamii ni taaluma tu.
 
nikki mbishi
nikki wa pili
kala jeremih
joe makini
roma
nashee mc na wengine kibao toka arusha. Hao wakina prof j, sugu hao ni zamani
 
Ni Buzz 277, 690
Piga namba hii popote uliza Solo,
Kama ni Kimeo usipige kwani Mgogoro,
Hata kama niko Dar, Nitajibu niko Moro.

Wananiita solo thang a.k.a not reachable
Hapo simu nshazima natafutwa na vinabo
Wakiiba hii moja tu mi nanunua double
Ilimradi tu hewani haina shobo

Simu imeharibika ni Dulla ama Mshauri,
Yahaya pale Azam yupi fundi hodari,
Kama nataka simu si bora ninunue dukani,
Ogopa pasua kichwa ogopa za mitaani,
Yaani hatua tatu tu network haisomi,
Hata ukirudi nyuma alouza humuoni,
 
Mmemwacha wapi msambaa wangu, wanabadilisha kontena la kondomu kwa dhaabu, udhaifu wa mrisho unamfanya benja aonekane msafi, kibonde wewe mi memba wa t.c.u? Mwananyamala wanaua hawaendi jela, jela anakwenda kajala, mchaga kauze mitumba, msambaa kauze matunda, mmakonde kachonge vinyago, mhaya kauze koinange, ndio bora kwangu kwa sasa kwani mashairi yake yananiacha hoi sana
 
1.Chindo man
2. Sterio
3.Jose mtambo jose masihara.
4.G wara wara
5.Stoper the yokoi
6.Nash emcee...maalim
7.Solo thang
8.Afande sele
9.Prof jay wazaman
10.Jay moe
 
Simu imeharibika ni Dulla ama Mshauri,
Yahaya pale Azam yupi fundi hodari,
Kama nataka simu si bora ninunue dukani,
Ogopa pasua kichwa ogopa za mitaani,
Yaani hatua tatu tu network haisomi,
Hata ukirudi nyuma alouza humuoni,

nakupenda japo hujatulia,vitendo vyako sitojivunia,sifa yako kuu umefulia....miss tanzania
 
Simu imeharibika ni Dulla ama Mshauri,
Yahaya pale Azam yupi fundi hodari,
Kama nataka simu si bora ninunue dukani,
Ogopa pasua kichwa ogopa za mitaani,
Yaani hatua tatu tu network haisomi,
Hata ukirudi nyuma alouza humuoni,


Frank Pasua kichwa
Ommy mfanya biashara
Chomba kauza simu jana chini ya Mnara
 
1.chindo man
2.jcb
3.faza papaa
4.chabah
5.izzy e
6.donii
7.g.hustler
8.vatoloco
9.stopa
10.mabov

real hip hop sio commercial unaeza kuta kuna baadhi huwajui usijali hawa wanafanya hazakati za kwele sio wapaka poda mwana fatma
 
1.chindo man
2.jcb
3.faza papaa
4.chabah
5.izzy e
6.donii
7.g.hustler
8.vatoloco
9.stopa
10.mabov

real hip hop sio commercial unaeza kuta kuna baadhi huwajui usijali hawa wanafanya hazakati za kwele sio wapaka poda mwana fatma


Oya sasa mbona umejaza wavuta bange wa Arusha kwenye listi yako?Sijaona hata mmoja wa kugusa uwezo wa FA hapo.Halafu wengine hata siwajui lol
 
1.chindo man
2.jcb
3.faza papaa
4.chabah
5.izzy e
6.donii
7.g.hustler
8.vatoloco
9.stopa
10.mabov

real hip hop sio commercial unaeza kuta kuna baadhi huwajui usijali hawa wanafanya hazakati za kwele sio wapaka poda mwana fatma

marijuana at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…