Dah! Kweli,umenikumbusha. Wapi Kimya wa kikosi,au ndo kaamua kuwa kama jina lake. Anachana sana kwa kiingereza.umeanza kusilikiza lini hii miziki?
Hilo dongo lilitolewa na Mo Technique mwaka 2007 katika song lake linaloitwa JIPANGE akiwa kamshirikisha KIMYA aliyekuwa producer wa KIKOSI RECORD!
icheki hyo song
www.waptrick.com
Wanashangaa akiwepo na Jcb na kiitikio ni Nakaya. Naikubali sana.1.Mvua na jua
2.maisha ya boarding
3.bishoo
4.mshamba
5.feimas
6.sihitaji
7.jipange
8.wanashangaa
9.stori 3
10.kimyakimya
11.ingekuwa vipi
12.tingisha
13.bounce
14.cheza kwa step
15.comentary
16.kama unataka demu
17........
18........
19.........
20.........
hizi shit miaka 100 hazichuji dah!respect kwako JUMA MCHOPANGA japo wamekubania vya kutosha
Wanashangaa akiwepo na Jcb na kiitikio ni Nakaya. Naikubali sana.
Wakazi mbona hayupo kwenye list?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sio kweli,kimbia fasta JMO hakushiriki,hao uliowataja ndo walikuwepo
Katika simu yangu Jay Moe aliingia kwa kusema ''Simu yangu ni soo, kuishika mtu sikubali, hata niwe na Demu wangu simu yangu ntaiweka mbali, na sichelewi kuizima nkaiwasha nkiachana nae, najuwa ikiwa hewani nitagombana nae...
Buzz 27 25 16,
SMS inakwenda hata kama hela imekwisha!
kwa nyimbo gani alizonazo?zile za kumcopy big?
umemsikiliza vizuri lakini alizoimba ye mwenyewe?
Buzz 27 25 19
Ni Buzz 277, 690
Piga namba hii popote uliza Solo,
Kama ni Kimeo usipige kwani Mgogoro,
Hata kama niko Dar, Nitajibu niko Moro.
(1)Kala pina(2)sugu(3)solo thang(4)afande sele(5)j moe(6)prof jay(7)saigon(8)FA/mangwea(9)joh makini(10)fid q/jcb/chid benz.
Kwenye nyekundu,mmojammoja ndio mpango bwana