Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

tena ni mejitahidi sana kuandika kiswahili is my 3rd language kwikwiwkwikw
Sie sind ungebildet und dumm, um diejenigen, die Ihre Schulgeldzahlungen zu zerstören Ihr Gehirn auf diese Weise dumm gehalten

hii sasa fujo wajameni.......
 
Ntaacha laana kwa mtoto au mjukuu wangu atakae kuja kusoma chuo tofauti na udsm hapa tz.
akili yako ina matatizo ya kiufundi!!! sasa kijana kama huyo mjukuu wako anakipaji cha utabibu(daktari) au ukulima utamlazimisha akasome udsm!! embu fikiri sio unafumuka tuuuuu bila mpangilio maalum!!!
 
Dogo unakiweka Kairuki wakati hakitambuliki kimataifa!!
Amka usome madesa umalize icho unachosoma.
Ni tabia ya vilaza kujihisi wako smart,samahani lakini I'm to help you how to think but unfortunately I can't and will never think for you...G****** it!!
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
 
tatizo sio vyuo tatizo ni mfumo, mfumo uliopo unawawezesha hata wasiojua kusoma na kuandika kwenda kidato cha kwanza, mfumo huo pia umeweza kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa, tunae rais ambaye ni semi-illiterate kabisa, mawaziri na wabunge ndo kuna semi-illiterates mvua wakingozwa na mulogo, kawambwa, mwinyi, kwa upande wa wabunge yuko lusinde ameshikilia bendera ya chuma.
 
aliesema chuo ni kichwa cha mtu nampa big up mi sishangai hiyo thread coz kuisoma tu nishajua aliepost alipeleka tumbo chuoni na sio kichwa.nimeamini ni rais kumtoa mtu kijijini lakini si rais kufuta ushamba kichwani mwake.kama wewe ni graduat afu hata ujui vitu vya kucorelt basina mengi ila napenda kukwambia R I P.
 
hili ndilo tatizo la watoto wenye akili za mashambani kijana najua umevidis hivyo vyuo vitano kwa sababu ulisoma nao wengi ulijua hawatafika chuo kikuu ukakesha kuweka miguu ndani ya maji hatimaye ukashangaa usiowategemea wamepata nao nafasi kwenda vyuoni sasa unaanza jilizaliza ovyo
 
chuo kizuri i kichwa chako tuna angalia uwezo hatu angalia umetoka wapi njoo kwenye ajira uone moto pumbavu ww
 
Do!Eeebwanaee,88888897297]inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE[/QUOTE]
 
Rogershine.Habariyako?wajionaje na hali?u mzima weye? hujambo lakini?vijana na familia kwa ujumla hawajambo?
haya sasa tudadavulie kwa utuliiivu ,ilikuwaje na kwa kutumia vigezo vipi ukavinasibisha ubora baadhi ya vyuo na vingine ukavipa utovu wa weredi.
Na kama ulifanya utafiti mtazamo wako unaweza kuweka wazi ushahidi wa tafiti yako?
Je wewe umesoma chuo gani na kwa nini unaamini kuwa hicho ni bora /si bora?(presuming that your brain was moulded right here!)
 
Wewe si ndiye uliyeleta thread humu jamvini ukilalamika kwamba kila test unayopiga huzidi robo? ? Eeh tulia usome mkuu
 
Back
Top Bottom