Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Ubora wa vyuo vikuu hupimwa kimataifa kwa kutumia vigezo malumu kitaalamu si na washabiki wa vijiweni au na wacheza bahati na sibu au wapiga ramli
hizo websites nyingi wanatumia data za kwenye websites za vyuo. na vyuo vyetu vingi vya africa havipublish data zake, haviupdate kwahiyo data nyingi, tafiti nyingi haziwi online. na mambo kama hayo.
 
Waulize waliosoma huko "vyuo bora" watakwambia ukweli. Siku hizi mtaani hatuangalii chuo ndugu, tunataka uwezo. Bahati mbaya hata baadhi ya wenye PASS wanafanya vizuri kuliko GPA kubwa. Usipoteze muda wako kusifia chuo, JENGA UWEZO WAKO.
 
Mtaongea saana lkn hakunaga kama st.Augustine university of TZ, hapa Tz usione kuenea kwake! eg. A ya ud ni B+ ya SAUT!
 
Mtaongea saana lkn hakunaga kama st.Augustine university of TZ, hapa Tz usione kuenea kwake! eg. A ya ud ni B+ ya SAUT!

acha kudanganya watu,E ya udsm ndo sawa na 'A' ya saut.
 
acha ushamba, ardhi ni practical oriented university. huwezi kulinganisha na st augustine cha vilaza waliopata div 3 &4 za HGH,HKL. Ardhi &muhimbili zilikuwa branch za udsm, hata entry requirements zake ziko tofauti na vyuo vingine. out put za ardhi & muhimbili huwezi kulinganisha na za st augustine. hapo tunapima interms of soko, je fresh graduate wa st augustine soko lake utalinganisha na fresh graduate wa st augustine? interms ya uwezo. for your info, graduates wa ARU hahitaji orintation/shortcourse baada ya kuajiriwa akiwa ametoka chuo. anaweza kutoka chuo na kuingia ofisini na kupiga mzigo bila vijikozi vya ziada.
ardhi nchuo?? mi sikatai ila kwa nini vyeti kwa wanaomaliza wanachukulia UDSM!!? umeskia wapi st joseph au udom wanatolea vyeti mzumbe?? embu naomba nieleweshe hapo!!!
 
Wengi humu jamvini wana chuki binafsi na hicho chuo cha IFM, nitafanya uchunguzi binafsi kwa hili ila ukweli ni kwamba wengi wamemegewa mademu zao mitaa ile sasa imekuwa chuki na chuo sio mtu binafsi kwikwikwikwikwi poleni sana
institute of finance management in swahili TAASISI YA USIMAMIZI WA FEDHA....kwa mantiki hiyo mi napinga kwa kwamba IFM sio chuo bali ni taasisi....
Ni kweli amekosea kuiita IFM Chuo, kwani IFM ni TAASISI na wala sio Chuo
hilo ni angalizo....mi napita tu.....
 
nimesoma UDSM ila kwa upuuzi huu nasikitika kutangaza kuwa wewe ni KILAZA MKUU
 
=gfsonwin wangu mbona umekuja juu sana kama moto wa kifuu, inahu.....!! Ni maoni yake tu, just live it.

Nahisi mwalimu wangu gfsonwin katoka Mwuce na haijatajwa popote! du sijui kitakuwa chuo cha kijiji sasa?
 
Kwa msaada, this is the list
[TABLE="width: 745, align: center"]
[TR]
[TD]
[TABLE="align: left"]
[TR]
[TD]Ads by Google

Postgraduate Study All about studying at University of Westminster, taught and research Prospects.ac.uk

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 745, align: center"]
[TR]
[TD="width: 500, align: center"]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 18, bgcolor: #669966"]
[/TH]
[TH="class: bl, bgcolor: #669966"]Universities
[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TH="class: bl, width: 240, bgcolor: #669966, align: center"]Locations
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]1 University of Dar es Salaam
[/TD]
[TD]Dar es Salaam ...

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]2 The Hubert Kairuki Memorial University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]3 Sokoine University of Agriculture
[/TD]
[TD]Morogoro ...

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]4 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
[/TD]
[TD]Dar es salaam

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]5 Mount Meru University
[/TD]
[TD]Arusha

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]6 St. Augustine University of Tanzania
[/TD]
[TD]Mwanza ...

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]7 Mzumbe University
[/TD]
[TD]Morogoro

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]8 The University of Dodoma
[/TD]
[TD]Dodoma

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]9 International Medical and Technological University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]10 St. John's University of Tanzania
[/TD]
[TD]Dodoma

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]11 The University of Arusha
[/TD]
[TD]Arusha

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]12 Ardhi University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]13 The State University of Zanzibar
[/TD]
[TD]Zanzibar City ...

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]14 Tumaini University
[/TD]
[TD]Dar es Salaam

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]15 Teofilo Kisanji University
[/TD]
[TD]Mbeya

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]16 Zanzibar University
[/TD]
[TD]Zanzibar City

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: i"]17 Muslim University of Morogoro
[/TD]
[TD]Morogoro

[/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]


du! unamaanisha masheikh ndio vilaza nini? mm sipo!
 
ardhi nchuo?? mi sikatai ila kwa nini vyeti kwa wanaomaliza wanachukulia UDSM!!? umeskia wapi st joseph au udom wanatolea vyeti mzumbe?? embu naomba nieleweshe hapo!!!

inaonekana una undugu na mulugo :crazy:!? au umepitia shule uliyofundishwa na Mulugo. hao wanachukulia vyeti UDSM kwakuwa walikuwa na kesi, walijoin UDSM, then gradauting wakawa wanapewa vyeti vya ardhi ambavyo hawakusoma, wewe kama hutumii masaburi kufikiri nadhani kisheria utakuwa unaelewa maana yake, refer wanafunzi wa iliyokuwa IDM Mzumbe kesi yao, nk. refer wa iliyokuwa Faculty of Argriculture University of Dar es Salaam (ikaja kuitwa SUA) nao wakati wa Faculty/college kujitegemea kulitokea mikanganyo kuwa graduate wagraduate na tittle ipi ikiwa wamedahiliwa na chuo mama, then wapewe vyeti vya chuo kipya (jina) so hilo ni suala la kisheria sio kitaaluma.
out put ya Ardhi huwezi kuilinganisha na St Joseph. nikutolee mfano, 2006 graduates wa Environmental Engineering walisoma Aru/UCLAS 99% waliajiriwa kuwa District water Engineers na hawakutosha, wakchua wengine kutoka COET. ukienda kwa wasanifu majengo, (Architect) hao wanakula pesa akiwa anasoma. unakuta mwanafunzi ana client wake anakula project tu ( design majengo & kusimamia). huo ni mfano. tofautisha cheti na utaalam. sula la vyeti lilikuwa la kisheria sio kitaalam. kozi kibao za pale ARU/UCLAS 90% ni wataalam wanaouzika. sawa na Muhimbili (MUHAS nao ilijitegemea mwaka huo huo ambapo UCLAS ilijitegemea. wanafunzi wa muhimbili hawakufungua kesi
 
Back
Top Bottom