Ni kweli amekosea kuiita IFM Chuo, kwani IFM ni TAASISI na wala sio Chuo. Iko sawa tu na Taasisi ya Ustawi wa Jamii! Lakini pia, wewe umedhihirisha jinsi ulivyo mjinga zaidi ya mtoa mada, hivi Prof. Benno Ndulu na Manaibu wake wote walisoma IFM? BTW: Kama BoT ndipo unapasifia kuna wataalamu wa mambo ya benki, mbona EPA scandal ilitokea pale na hakuna mtaalamu wa IFM aliyegundua? Au utaalamu wao walikuwa wameuacha chooni au? Ukweli unauma, lakini rejects of reputable Universities and Low grade students ndio huwa wanakimbilia Taasisi kama CBE, IFM, TIA, Mzumbe, na sijui matakataka gani huko, n.k.! Sema tu kwakuwa waajiri wengi ni vilaza, huwa hawapendi kuajiri vichwa ndio maana makapi haya huwa yanapata nafasi nzuri za kazi kama Hazina, BoT, n.k. Ni kama tu Mulugo alivyoweza kuwa Boss wa Maprofesa wote ilhali yeye ni kilaza wa OUT! Sasa huo ni ujanja au ukanjanja? Pambaf!