Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
tena ni mejitahidi sana kuandika kiswahili is my 3rd language kwikwiwkwikw
Sie sind ungebildet und dumm, um diejenigen, die Ihre Schulgeldzahlungen zu zerstören Ihr Gehirn auf diese Weise dumm gehalten
akili yako ina matatizo ya kiufundi!!! sasa kijana kama huyo mjukuu wako anakipaji cha utabibu(daktari) au ukulima utamlazimisha akasome udsm!! embu fikiri sio unafumuka tuuuuu bila mpangilio maalum!!!Ntaacha laana kwa mtoto au mjukuu wangu atakae kuja kusoma chuo tofauti na udsm hapa tz.
iko morogoro..uliza kingine!!!mzumbe iko wapi!?
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE